Ndugu zangu Watanzania,
Wakati wowote ule Nitawaleteeni CV nzito na ndefu ya Mheshimiwa Paul Christian Makonda mtia nia ya Ubunge Arusha Mjini kupitia CCM 2025.
Ambapo nitawaeleza kwa kina juu ya Paul Makonda ni nani hasa. Amefanya nini mpaka alipofikia hapo. Amepitia wapi na wapi kiuongozi. ameshika nafasi gani na zipi kiuongozi kuanzia alipokuwa Mwanafunzi mpaka alipomaliza Masomo yake ya Elimu ya juu.
Mtapata kumfahamu kwa undani zaidi mambo aliyoyafanya na kuyasimamia pamoja na matokeo yake kwa ujumla wake. Hakuna kitu kitakachobakia kumhusu .kila kitu utakipata hapa jukwaani na kukata kiu yako..
Mwisho ningependa kusema ya kuwa Mimi siyo Chawa wa mtu na hivyo chochote niandikacho hapa Jukwaani naandika mimi kama mimi .na wala siyo kwa malipo au kutumwa na mtu au kupewa maelekezo na mtu. Mimi ni Mwana CCM Damu Damu na nawaunga mkono viongozi wangu wa CCM pamoja na wanachama wenzangu wa CCM.
View attachment 3388819
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.