Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

Nimesema wapi kuwa Chadema walijua? Sasa kama hata kwenye kitu simple kama hiki unajaribu kukipotosha, hamna haja ya kuadiliana kitu na wewe.

Amandla...
Umesema CDM sio wajinga, ndipo jamaa anauliza by CDM unaamanisha Mbowe au chama (wanachama)?
 
Umesema CDM sio wajinga, ndipo jamaa anauliza by CDM unaamanisha Mbowe au chama (wanachama)?
Asante kwa ku clarify.
Nikisema CDM au Chadema namaanisha chama ambacho Mbowe alikuwa Mwenyekiti wake. Hapa nilikuwa nauzungumzia uongozi wa CDM. Kama jambo linamhusu Mbowe peke yake nitasema Mbowe.

Amandla...
 
Kifupi halima kahaidiwa viti na mboga mboga kwa muhula mwingine.
 
Ndugai asingeweza kufichua hizo fomu kwasabb Mbowe aliyezisaini ni ccm mwenzao
Mbowe aliwaita Nairobi akala pesa zao na pia baaadhi akapiga Rushwa ya ngono akina Esta matiko na mdee ndiyo maana mdee huwa anamchukia Lisu kwa kiwango cha kutisha na hata ile kamati ya Roho mbaya iliundwa na mbowe kwa ajili ya kumdhoofisha Lisu iliongozwa na mdee ambaye alikuwa kinara wa kugawa pesa kwa Wajumbe wamchague mbowe
 
Reactions: G4N
Asante kwa ku clarify.
Nikisema CDM au Chadema namaanisha chama ambacho Mbowe alikuwa Mwenyekiti wake. Hapa nilikuwa nauzungumzia uongozi wa CDM. Kama jambo linamhusu Mbowe peke yake nitasema Mbowe.

Amandla...
Wabunge covid 19 walikuwa mali binafsi ya mbowe kwani Ruzuku ya milion 100 kila mwezi iliishia mifukoni kwa mbowe ndiyo maana chama hakina pesa
 
Mdee huwa hampendi Lisu toka kitambo aliwahi kumpiga lisu kibao kwa kuhoji uhalali wao kwenye vikao vya ndani ya chama, Mdee ni hawala wa mbowe ni mnufaika wa pesa alizokwapua Mbowe toka kwenye chama ana kinyongo kikubwa na Lisu na yupo tayari kwa lolote baya ili mradi Lisu na Heche wafeli kuongoza chama , wanapaswa wamuundie tume ya siri kumchunguza mdee kwani chuki yake kwa Lisu inazidi kukua na anaweza kufanya lolote baya mda wowote
 
Mnataka watu wawe loyal kwa Lissu au kwa chama? Si ndio mwanzo wa uchawa?

Amandla...
Ubaya wa mdee kwa Lisu haujaanza jana wala juzi ni ubaya wa mda mrefu sana, mdee anamchukia Lisu kwa kiwango cha kutisha sana na ndiyo maana Mbowe alimteua kuwa mwenyekiti wa kamati ya Roho mbaya kumdhoofisha Lisu kipindi cha kampeni na kuvuna pesa nyingi toka kwa mbowe ingawa pesa nyingi kala mwenyewe zingine kaficha anakojua ili azitumie kuwahujumu lisu na Heche baadae
 
Heche na Lisu wakae Ofisini kwa umakini mkubwa na wasimame na mungu zaidi kwani vita ya mdee na kikundi chake bado ipo na inazidi kuongezeka kama m23 wanavyosonga mbele kule jimboni Goma Nchini Congo, mdee ni wa kumchunga kumchunguza saa 24 kila siku vinginevyo atawavuruga uongozi mpya mpaka washangae
 
Walishafukuzwa siku nyingi mbona
Bado wanaota kurejea wanakaa vikao mara kwa mara kujadili jinsi ya kuwavuruga uongozi mpya, pia wamebuni mbinu ya kula pesa za wale wote wasioupenda uongozi mpya, waebubini mradi wa kula pesa kwa visingizio vya kuudhofisha uongozi mpya
 
Covid 19 wamekupa Rushwa hadi umeamua kuwatetea pasipo kujali kuwa wana makosa mengi ya kujibu ikiwemo kusainiwa form kienyeji na mbowe kule Nairobi na kuwa wanagawana na mbowe ile Ruzuku ya kila mwezi
 
Ndungai alifanya kwa uoga kumuogopa magufuli na pia alikuwa kwenye mgao wa ile Ruzuku ya milion 100 kila mwezi
 
Covid 19 wakiongozwa na mdee waliweza kuleta Ruzuku ya milion 100 kila mwezi, lakini hiyo pesa ilimezwa na mbowe mwenyewe akawa anagawana nao na pia ndungai kwa Siri, uwepo wa uongozi mpya utawafanya wakose mgao na ndiyo maana mdee bado ana kinyongo cha kutisha sana
 
Umesema CDM sio wajinga, ndipo jamaa anauliza by CDM unaamanisha Mbowe au chama (wanachama)?
Zamani chadema ilikuwa saccos duka kibanda biashara binafsi ya mbowe , ndiyo maana pesa zote ziliishia mfukoni kwake, viongozi wengine hawakuwa na mamlaka idara ya pesa licha ya ushiriki wao ktk kukijenga chama
 
Sijui hata nianzie wapi kukujibu mtu unaeamini kuwa Halima na wenzake wanaweza kupeleka ruzuku CDM halafu wakazitafuna wao na Ndugai! Tuachie hapo hapo.

Amandla...
 
Sijui hata nianzie wapi kukujibu mtu unaeamini kuwa Halima na wenzake wanaweza kupeleka ruzuku CDM halafu wakazitafuna wao na Ndugai! Tuachie hapo hapo.

Amandla...
Hutakiwi ujibu unatakiwa ujue tu inatosha kwani hii ndiyo Tanzania hakuna lisilowezekana chini ya jua
 
Sijui hata nianzie wapi kukujibu mtu unaeamini kuwa Halima na wenzake wanaweza kupeleka ruzuku CDM halafu wakazitafuna wao na Ndugai! Tuachie hapo hapo.

Amandla...
Covid 19 walikuwa wabunge wa mchongo mwenye Dili ni Mbowe mwenyewe na ndungai , zamani walikula pesa kiulaini kwa kuwa pesa zote za Ruzuku zilikuwa chini ya mbowe lakini sasa uongozi mpya pesa ikiingia kwenye chawa hawamo tena maana kila kitu kipo kwa uwazi mkubwa tofauti na mbowe ambaye aliendesha chama kama saccos duka binafsi
 
Sasa yupo kwenye kamati ya Roho mbaya mshauri aache ushirikina amrudie mwenyezi mungu
Sina connection nae, sikio la kufa mkuu halisikii dawa. Ila kitaa kugumu nae hajawahi kukaa naona aliogopa.
 
Jamaa mmoja alisema vyama vyote vya upinzani ni project za CCM, isipokuwa CCM ilifeli kwa kukipa nguvu chama kimoja (CDM) na hivyo CCM kikajikuta kinapata upinzani kutoka kwenye project yake chenyewe.

Akasema ilitakiwa CCM ivipe vyama vyote fedha ili vipingane vyenyewe kwa vyenyewe na chenyewe CCM kiendelee kula minofu. Sio unakipa hela CDM tu na vingine unavinyima vinakuunga mkono waziwazi ili uvionee huruma.

Ndio unaona kama vile ACT kinavyopingana au kuchekana na CDM, au CDM kupingana na ACT. Na ndio ile CDM inavyoita vyama vingine vya upinzani kuwa ni CCM B, kumbe chenyewe pia ni CCM A.

Ilikuwa ngumu kuamini kuwa kauli ya jamaa kuwa vyama vya upinzani ikiwa ni pamoja na CDM ni mradi wa CCM, ila sasa mambo ndio yamekaa hadharani hivyo, tumeshuhudia mtu jabali kabisa kama Mbowe anaongea na kufanya matendo ya ki-CCM .

Ingawa Lissu amekuwa mwenyekiti wa chama, bado upinzani atakaopata ndani ya chama hautakuwa mdogo sababu yeye yupo real kama mpinzani ila kumbe yupo kwenye mradi wa chama kingine (CCM).

Alifananisha uwepo wa vyama hivi kama uwepo wa dini ya uislamu inavyosemwa kuwa ni project iliyoanzishwa na majasusi wa kanisa la Roman Catholic kwa faida zao binafsi.

Dawa ya yote ni kuwa na mgombea binafsi. Kwenye mabadiliko ya katiba, Lissu na wengine hakikisheni mgombea binafsi atambulike kikatiba. Huo ndio mwarobaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…