Fabolous
JF-Expert Member
- Sep 23, 2010
- 2,993
- 3,747
Mama Abdul?Anamcheka Mwenyekiti wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama Abdul?Anamcheka Mwenyekiti wake
Walishafukuzwa siku nyingi mbonaAnamdharau Mwenyekiti wake mpya, hapo lazima ameshajiharibia na watafukuzwa uanachama
Mwenyekiti akidharaulika na chama kinadharaulika automatically. Si unaona heshima ya mbowe kwa demokrasia aliyoonyesha ndio imegeuka heshima kwa chadema.Mnataka watu wawe loyal kwa Lissu au kwa chama? Si ndio mwanzo wa uchawa?
Amandla...
Unampangia mwenyekiti cha kuzungumza we nani kwanza, una hadhi gani wewe, embu pumzikeni mtavimba makoo hayoHahaha Mwenyekiti bado anafanya kampeni? Hawezi kukaa kimya?
Siyo kila swali ana jibu lake, mwenyekiti siyo mmiliki wa chama. Kuna vitu vinajadiliwa na ngazi zingine za chama nakutolewa maamuzi.
Kwa hiyo kila Mtanzania atakayetaka kujiunga chadema Lisu ndiye anaidhinisha kujiunga kwao?
Najua hawa ni special case lakini asitake kuwaaminisha watanzania kwamba yeye ndiye mfunga na mfungua milango ya chadema.
Sasa Lisu anataka ajibu hadi maswali ya wapika chai wa ofisi za chadema.
Ajifunze kukaa kimya siyo kila kitu kinajibiwa hadharani.
Chadema inapokea RUZUKU kutokana na hao wabunge tunowaita Covid19. Halafu yeye anajidai HAWATAMBUI, akae kimya.
Ubunge wao wa mahakam ukifika tamati, wana haki kuamua kurudi chadema, au kwenda kokote watakako kwenda.
Swala la nani aliwapa fomu, au waliingiaje Bungeni akaulize ofisi ya spika wa Bunge, aache kujitoa akili.
Wanayo hiyari ya kuamua, kwanza ni watanzani, pili hawajafanya kosa la kusababisha wafukuzwe uanachama wao.
Hahaha mwenyekiti sio Mungu, Chadema ni taasisi inawatu yeye ni mwenyekiti, siyo mmiliki wa chama.Unampangia mwenyekiti cha kuzungumza we nani kwanza, una hadhi gani wewe, embu pumzikeni mtavimba makoo hayo
Wewe kama nani unampangia mwenyekiti akae kimya?Hahaha mwenyekiti sio Mungu, Chadema ni taasisi inawatu yeye ni mwenyekiti, siyo mmiliki wa chama.
Mnapinga mambo ya ccm, kuendeshwa kifalme, maamuzi anafanya mtu mmoja chama kizima, inapokuja kwenu mnakubali kila kitu anachosema Lisu, hivi huwa mnajiuliza mara mbili au mnatukuza hadi hamjielewi?
Lisu akae kimya asijifanye anajua kila kitu, Ruzuku inapokelewa ni kutokana na hao Covid19, sasa asichotaka nini,pesa au wabunge?
Mjumbe wa kamati kuu, na Lisu ni Mjumbe na Mwenyekiti, chama siyo mali yake, yeye hana kauli ya mwisho.Wewe kama nani unampangia mwenyekiti akae kimya?
Kwani ni wanachama wa cdm?Anamdharau Mwenyekiti wake mpya, hapo lazima ameshajiharibia na watafukuzwa uanachama
Kwani ni wanachama wa cdm?Anamdharau Mwenyekiti wake mpya, hapo lazima ameshajiharibia na watafukuzwa uanachama
Lissu hajawakataa! Lissu alichosema waje waseme nani alisaini fomu zao walizoteuliwa kwenda bungeni!Mimi hapa ndio simuelewi Lissu. Hivi kweli anaamini kuwa kama kungekuwa na fomu zozote Ndugai angezificha? Hiyo si ndio ilikuwa nafasi ya kumuumbua aliye zisaini na kukivuruga kabisa CDM? Kauli kama hizi za kichonganishi ndio zinanifanya nikose imani nae. Kwangu mimi wakina Halima na Esther ni bora mara kumi ya Msigwa na Slaa ambao ni rafiki zake. Hawa wanawake katika muda wote huu hawajawahi kukitukana chama chao wala viongozi wao. Lakini hao anao wakumbatia walifanya juhudi za wazi kukichimba chama chake.
Ningekuwa yeye ningetangaza ruhusa kwa yeyote ambae kwa sababu yeyote alikuwa nje ya chama kurudi kwenye familia. Mbona waliweza kumkubali mpambanaji Aidan? Kwa hawa wanashindwa nini?
Amandla...
Unachanganya kuwa loyal kwa mtu na kudharaulika. Mtu anaweza kudharauliwa na kadamnasi lakini watu wake wakawa bado wako loyal kwake.Mwenyekiti akidharaulika na chama kinadharaulika automatically. Si unaona heshima ya mbowe kwa demokrasia aliyoonyesha ndio imegeuka heshima kwa chadema.
Lissu anajuaje kuwa kuna hata fomu? Watu walioweza kumtoa mtu mahabusu usiku na asubuhi kumuapisha kuwa mbunge wanahitaji kweli kuwa na fomu? Ndugai alimwambia mbunge ambae aliisha tangaza kuwa ameunga mkono juhudi kuwa yeye bado ni mbunge wa Chadema na akaendelea kumlipa kama mbunge wakati tayari kesha kabidhiwa kadi ya CCM hadharani. Unadhani mtu kama huyu atajali kama wakina Halima wana fomu au la? Unadhani kwa nini wamejipa immunity?Lissu hajawakataa! Lissu alichosema waje waseme nani alisaini fomu zao walizoteuliwa kwenda bungeni!
Wakijieleza nadhani wanaweza kuruhusiwa kuja kundini!
Anajifariji tu huyoHalima Mdee ameonyesha emoji mbili za kucheka 😃😃 kupitia mtandao wa X katika taarifa inayomuonyesha Lissu akiongelea kuhusu msimamo wake dhidi ya wabunge hao 19
View attachment 3213007
Kumbuka na BAWACHA haohao hawataki kabisa ugonjwa wa COVID-19.Bawacha wameonyesha wazi kuwa wako kwa Mbowe. Hiyo inamsumbua.
Amandla...
Anamdharau Mwenyekiti wake mpya, hapo lazima ameshajiharibia na watafukuzwa uanachama
Bawacha wapi hawawataki? Mimi naamini kuwa bado kuna wanawake wenzao ndani ya chama ambao wana imani nao. Wao kurudi kundini kunaweza kuwekewa masharti. Kwa mfano, wasigombee nafasi yeyote ya uongozi ndani ya chama kwa miaka kadhaa. Na ninaamini kuwa wengi wao hawana hata nia ya kurudi CDM. Nadhani wenye nia ya dhati ni Halima Mdee na Esther Bulayo tu. Wengine wako watakao acha siasa, watakaojiunga na CCM, watakaojiunga na vyama vingine. Kuna ambao hawatakuwa tayari kuwasamehe wale waliowaita Covid-19 na matusi mengine kibao.Kumbuka na BAWACHA haohao hawataki kabisa ugonjwa wa COVID-19.
Lissu yuko sawa sawa, hiki kivuli cha mwamba kitapotea tuu na kusahau taratibu.