CDM kumpa uenyekiti TLS WamebetiMimi hapa ndio simuelewi Lissu. Hivi kweli anaamini kuwa kama kungekuwa na fomu zozote Ndugai angezificha? Hiyo si ndio ilikuwa nafasi ya kumuumbua aliye zisaini na kukivuruga kabisa CDM? Kauli kama hizi za kichonganishi ndio zinanifanya nikose imani nae. Kwangu mimi wakina Halima na Esther ni bora mara kumi ya Msigwa na Slaa ambao ni rafiki zake. Hawa wanawake katika muda wote huu hawajawahi kukitukana chama chao wala viongozi wao. Lakini hao anao wakumbatia walifanya juhudi za wazi kukichimba chama chake.
Ningekuwa yeye ningetangaza ruhusa kwa yeyote ambae kwa sababu yeyote alikuwa nje ya chama kurudi kwenye familia. Mbona waliweza kumkubali mpambanaji Aidan? Kwa hawa wanashindwa nini?
Amandla...
anaweza akaleta hamasa kubwa ndani ya chama na wengi wakakipenda au akakivuruga na kikadharaulika na wengi
Kwa sababu lisu Hana record za kuwa kiongozi au mtendaji kwenye Taasisi yeyote ile.
Watu wengi wanamjua kupitia kukosoa na kupinga Mambo kwa lugha ya bashasha