CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Ishu ya Halima Mdee na wenzake watu wanataka kuitwist tu lakini iko very clear. Hao siyo wanachama wa Chadema,na kama suala la msamaha ni kuwa mkosaji ndiye huwa anaomba msamaha baada ya kukiri na kuungama dhambi zake,siyo mkosewa amsamehe mkosaji hiyo ni kinyume kabisa. Je ni lini hao Wamama walikiri kosa na kuomba msamaha? Hapo walipo wameishitaki Chadema Mahakamani sasa unaanza vipi kumsamehe mtu ambaye amekupeleka Mahakamani? Hao waachwe wamalize ubunge wao wa magumashi wavute mamia ya mamilioni yao waende watakako.