Jibu la Halima Mdee kuhusiana na msimamo wa Lissu juu ya Wabunge 19 (COVID 19)

Na walipomuuliza aliwajibu nini? Mimi binafsi naamini kuwa Mbowe anajua sababu ( after the fact) zilizowaanya Halima na wenzake wafanye walichofanya. Na ana sympathise nao. Na nina amini kuwa hakuziweka hadharani kwa sababu alijua zikitoka zitawaharibia sana wakina Halima. Naamini pia kuna uwezekano kuwa baada ya uchaguzi wa mwaka huu kupita wakina Halima wataeleza kwa nini walifanya walichofanya.

CDM sio wajinga. Walijua mpango mzima ni kuhakikisha wakina Halima wanaendelea kuwepo Bungeni mpaka uchaguzi unaofuata. Kuendelea kujishughulisha na ile kesi ingekuwa upotezaji wa resources adimu walizokuwa nazo.

Amandla...
 
Warudi bila kuomba radhi na kuomba uanachama upya?
Hakuna kulea ujinga, walifanya uhuni wao huo na acha uwatafune.
Uovu waliofanya ni mkubwa mno.
 
Unasema chadema walijua, hii kauli unamaanisha nini?
Kwamba Mbowe ndio chadema au? Kwa sababu ni mbowe pekee aliyejua huo mchongo wao wa kuingia bungeni.
Huo ni uhuni na cha ajabu Mbowe alikuwa muhusika mkuu
 
lisu anashida gani na hawa kina mama ache ujinga jamii inamwona debe tupu
Kwani hao kina halima walifukuzwa na Lisu? Chama kiliwafukuza na ndio msimamo wa chama.
Kwa hiyo akiulizwa swali unataka alikimbie? Majibu aliyotoa ndio msimamo wa chama.
 
Unasema chadema walijua, hii kauli unamaanisha nini?
Kwamba Mbowe ndio chadema au? Kwa sababu ni mbowe pekee aliyejua huo mchongo wao wa kuingia bungeni.
Huo ni uhuni na cha ajabu Mbowe alikuwa muhusika mkuu
Nimesema wapi kuwa Chadema walijua? Sasa kama hata kwenye kitu simple kama hiki unajaribu kukipotosha, hamna haja ya kuadiliana kitu na wewe.

Amandla...
 
Sasa hiki chama kinapokea ruzuku ipi, ya Mbunge mmoja aliyeshinda, au na ya hawa wengine 19 wa kuteuliwa?
Maridhiano yalifanya wakapokea ruzuku, siyo swala la katiba.
Anapaswa akatae, ruzuku ili kuwakataa wabunge.
Sidhani kama unajua namna ruzuku inavyopatikana.
Unaropoka vitu usivyovijua.
Ruzuku haitokani na wabunge viti maalumu bali idadi ya kura halali za ubunge katika uchaguzi
 
Hahaha hujielewi wewe na Lisu wako, Simpangii lakini asilopoke. Wabunge wa viti maalum chadema mnaowaita covid19, wanatambulika ndani ya chama labda Lisu ajitoe akili tu kutafuta umaarufu.
Wanatambulika huku wakiwa wamefukuzwa na baraza kuu?
Sasa wanatambulikaje? Kichwa chako sio kizima, afya ya akili haipo sawa
 
Kwani hao uliowataja wameomba kurudi chadema? Utaratibu upo wazi kwa yeyote anayetaka kurudi.
Baraza kuu ndio chombo cha mwisho cha kukubali au kukataa lakini lazima aseme ukweli ili asamehewe.
 
Unataka wafukuzwe mara ngapi?
Mbona walishafukuzwa kitambo, au wewe mwenzetu upo kuzimu?
 
Good
 
Sasa hii hoja ya kuwasamehe inatoka wapi? Sisi cdm tulishamalizana nao.
Acha waende kwenye chama cha mambuzi huko
 
Unachanganya kuwa loyal kwa mtu na kudharaulika. Mtu anaweza kudharauliwa na kadamnasi lakini watu wake wakawa bado wako loyal kwake.

Amandla...
Watu wake sio sehemu ya kadamnasi? Mbona sikuelewi
 
Kwani hao uliowataja wameomba kurudi chadema? Utaratibu upo wazi kwa yeyote anayetaka kurudi.
Baraza kuu ndio chombo cha mwisho cha kukubali au kukataa lakini lazima aseme ukweli ili asamehewe.
Shida ni kuwa mmeishaamua ukweli ni upi kabla hata ya kumsikiliza. Mnataka wakiri kwa ukweli wenu na sio wao! Hiyo misimamo ni ya kangaroo court. Lissu alisema kuwa kwa sababu walifukuzwa na Baraza Kuu ni Mkutano Mkuu peke yake ndio unaweza kusikiliza maombi yao kama wataomba.

Amandla...
 
Nimesema wapi kuwa Chadema walijua? Sasa kama hata kwenye kitu simple kama hiki unajaribu kukipotosha, hamna haja ya kuadiliana kitu na wewe.

Amandla...
Fundi Mchundo, stop talking rubbish...unajiaibisha. Nakupa ruhusa ya kuniweka kwenye ignore list yako. Unatetea usichokijua.
 
Fundi Mchundo kwani Kuna ubaya wakijiunga CCM na wakawa wanachama wenu...?

Kama wanataka kurudi CHADEMA, wakiri kwa ukweli wao...

Kwa namna mambo yalivyo, Kuna jinai ya forgery of signature ya GS wa CHADEMA kwenye nyaraka zilizowapa uhalali wa kuwa wabunge...

Hoja hapa ni nani engineer wa forgery hiyo..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…