ok mwanajamii tuendelee kuwepo kwa amaniKwa sababu na mimi ni mwanajamii.
safi sana kiongozNipo JF kwa akili ya kujifunza
tuendelee kukaa hapa hapa my friendSina pakwenda
Kwa nini upo jf? Na majibu yote ntayareply yalivyokuja
Kwakuwa ni uwanja pekee huru unaweza kumlabua Kofi la mdomo fisadi ama muuaji wa Watanzania bila kulipwa risasi 332 ama kutekwa na kupotea Mazima na naomba jibu kwani umeahidi kujibu kila hoja?na subiri mtazamo wako juu yaaoni yangu?Kwa nini upo jf? Na majibu yote ntayareply yalivyokuja
najua hadi unaingia na viatuNimepazoea tu.
usijali na tulia tuNimejikuta tu nimedondokea umu
umesema wewe mkuuKwa sababu ndo mtandao wa maana uliobaki
N sawa na kwenda hodi ya wazazi kutafuta bikra 😂Natafuta mchumba bikra
Amka, kumekucha, acha kujidanganyaKwa sababu ndo mtandao wa maana uliobaki