Jibu swali, kama huwezi pita kushoto

Jibu swali, kama huwezi pita kushoto

kwa ajili ya maarifa mana naamini hii ni moja ya sehemu kitovu cha maarifa mbali mbali.
 
Kuna wengine wanapotezea muda uwanjani, makanisani, bar, kukimbia, kutazama tv n.k
Ila n kwel, mm mwnyw natumia jf nikiwa kwenye free time na naingia kwa lengo la kupoteza muda 90% kujifunza 10%
 
Kiukweli mtaani nimezungukwa na wajinga wengi, hapa ndio kidogo nakutana na like minded people.
 
Back
Top Bottom