- Thread starter
- #21
vizuri sana kwa kuwa hujalazimishwa chiefNimeamua kujiunga
vizuri sana kwa kuwa hujalazimishwa chiefNimeamua kujiunga
kwa lipi au kwa nini mkuukwa kweli sisi zetu ni dua tu
fresh nigga leta utani tuone sasa na hongera kwa kufuata elimuEeh mimi niko hapa kw sababu ya utani na habari za jamaa, pia kujifunza vitu vya maana. Sina pakwenda pia, JF ni home basi. Lol
Kubadilishana mawazo na kupata uvumbuzi wa maswala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Mf. Je Mungu yupo?? Na kama yupo aliumbwa na nani? Japo hakuna jibu ila tu ni kulumbana tu mpaka kieleweke.Kwa nini upo jf? Na majibu yote ntayareply yalivyokuja
endelea kutafuta utampataNatafuta mchumba bikra
Mtafutaji hachokiN sawa na kwenda hodi ya wazazi kutafuta bikra 😂
kweli wewe ndio mtanzania halisi yaan unajib baada ya jibu swali ok nimesema ntajibu kila hoja kwa sababu nimejickia kujibu hata kama ukijibu kimatusi bado ntareply tu na ni kwa sababu leo sijaenda kujikonyaginize nimeamua kuwa nanyi.Kwakuwa ni uwanja pekee huru unaweza kumlabua Kofi la mdomo fisadi ama muuaji wa Watanzania bila kulipwa risasi 332 ama kutekwa na kupotea Mazima na naomba jibu kwani umeahidi kujibu kila hoja?na subiri mtazamo wako juu yaaoni yangu?
bro nakushauri tu usije kuwa sehemu ati unapoteza mda ni bora hata usiwepoKwa ajili ya kupoteza muda tu
hapo sawa mkuuKubadilishana mawazo na kupata uvumbuzi wa maswala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa. Mf. Je Mungu yupo?? Na kama yupo aliumbwa na nani? Japo hakuna jibu ila tu ni kulumbana tu mpaka kieleweke.
Wewe muda wako huwa unaupotezea wapi?bro nakushauri tu usije kuwa sehemu ati unapoteza mda ni bora hata usiwepo
Muone.kuleta stress zangu huku😊
kuleta stress zangu huku
pambana kabsa kiongoz and i wish all the bestKuna demu namvizia,
Nikisha mla tu,naachana na JF
Kama point hivi 😂Kwa ajili ya kupoteza muda tu
MwenyeweMuone.
Na komwe lako kubwa kama radi.
Macho makubwa kama gololi za mchawi.