Jibu swali, kama huwezi pita kushoto

Jibu swali, kama huwezi pita kushoto

Wakati nimemaliza shule 2022 wakati nahangaika na kutafuta tafuta maarifa ya kidunia ndo nikaletewa na nyuzi za humu kuzifatilia nikaona kama zina kitu hivi.

Mwisho wa siku nikagunduka kumbe kuna mengi zaidi ya taarifa, hadi mambo ya wakubwa na kimasikhara yamo. Nikajikuta nimejiunga hivyo
 
endelea hivy hivyo na ujitaidi ule mtu kimasihara ili ndoto itimie
 
Back
Top Bottom