Jibu swali, kama huwezi pita kushoto

Kwa nini upo jf? Na majibu yote ntayareply yalivyokuja
Kwa nini upo jf? Na majibu yote ntayareply yalivyokuja
Kwakuwa ni uwanja pekee huru unaweza kumlabua Kofi la mdomo fisadi ama muuaji wa Watanzania bila kulipwa risasi 332 ama kutekwa na kupotea Mazima na naomba jibu kwani umeahidi kujibu kila hoja?na subiri mtazamo wako juu yaaoni yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…