Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

AXIOM APEX VERBOSE

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
13,769
Reaction score
23,676
Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe.

Swali langu ni hili hapa,

Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka?

Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua.

Nipe sababu nyingine.

Kwanini unaweza ukawasimamisha watu wawili hapa na wote wana miaka 70 ila mmoja anakua kachoka vibaya sana huku mwingine akiwa bado sana yupo physically fit and mentally fit, hii imekaaje?
 
Jibu ni simple sana. Inatokana na uwezo wa cell za mtu kwenye kuzaliana (Cell formation).

Ikumbukwe uwezo huu wa cells unatofautiana kwa mtu na mtu kutokana na factors nyingi, ikiwemo Heredity.

Uwezo wako wa cells hauwezi fanana na wa mtu mwingine.
 
Na waliofanya parade juzjuz tel aviv pia hawazeek
Oya Mbaga Jr secretarybird dogo kipapai (bwabwa) bado yupo bwanaaa, anabadirisha tu majina akisha gundulika😁
bf0d939846b009d3194277533815a207 (1).jpg
 
Back
Top Bottom