Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

Jibu ni simple sana. Inatokana na uwezo wa cell za mtu kwenye kuzaliana (Cell formation).

Ikumbukwe uwezo huu wa cells unatofautiana kwa mtu na mtu kutokana na factors nyingi, ikiwemo Heredity.

Uwezo wako wa cells hauwezi fanana na wa mtu mwingine.
Aisee, mkuu hapa ungeongeza kidogo maelezo umeelezea kwa uchache sana halafu kisayansi yaan layman's ukiwaambia heredity na cells formation unawatoa mchezoni kabisa emu tulia lugha rahisi kidogo
 
Kwa nini unalazimisha ziwepo sababu nyingine zaidi ya ulizozitaja? Kama ni hizo hizo je. Mimi sinywi pombe ila rika langu lote wanywa pombe kuanzia walioko vijijini na mjini wote wanaonekana ni mababu halafu mimi form six.
 
Aisee, mkuu hapa ungeongeza kidogo maelezo umeelezea kwa uchache sana halafu kisayansi yaan layman's ukiwaambia heredity na cells formation unawatoa mchezoni kabisa emu tulia lugha rahisi kidogo
Kuzeeka kunatokana na hali ya seli kuanza kufa kwa wingi na kutozaliana tena. Hii tabia ya seli kuanza kufa kwa wingi inatokana pia na asili ya seli zenyewe kwa maana ya seli ulizorithi wewe mwenyewe kutoka kwa wazazi. Zingine huanza kufa mapema na zingine huchelewa kulingana na urithi.
 
Unaomba majibu alafu papo hapo hutaki majibu ya kweli... Hii kitaalam tunasema umekuja na majibu yako mfukoni 😊
Wewe nipe majibu mengine tumia akili yako zaidi kubaini ukiondo chakula, vinywaji na mazoezi ni nini kinafanya mtu azeeke haraka au asizeeke haraka?
 
Kuzeeka kunatokana na hali ya seli kuanza kufa kwa wingi na kutozaliana tena. Hii tabia ya seli kuanza kufa kwa wingi inatokana pia na asili ya seli zenyewe kwa maana ya seli ulizorithi wewe mwenyewe kutoka kwa wazazi. Zingine huanza kufa mapema na zingine huchelewa kulingana na urithi.
Sasa elezea chanzo cha hizo seli kufa ni kipi kwanini seli zinakufa na nini kina sababisha seli zife? Ingawa sikutaka twende huku ila twende hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom