AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
- Thread starter
- #41
Fafanua vizuriHii sio ya kutumia akili mingi kuelewa

Hahaha yaan 30 unaonekana Babu/Bibi kweli mkuu?Aseh ngozi hasa ngozi zenye mikunjo afu huna hela, ama una stress alooh miaka 30 unaweza onekana mzee wa miaka fifty
Kwa sababu seli zimekufa zote,Sababu muda wangu wa kuishi unakua umeisha ndio maana nakufa, na mimi nakuuliza swali wewe kwanini unakufa?
Naongezea vitu vitatu:-Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe.
Swali langu ni hili hapa,
Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka?
Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua.
Nipe sababu nyingine.
Kwanini unaweza ukawasimamisha watu wawili hapa na wote wana miaka 70 ila mmoja anakua kachoka vibaya sana huku mwingine akiwa bado sana yupo physically fit and mentally fit, hii imekaaje?
Hahahaha hujaona mkuu wenye umri huo wana uzeeHahaha yaan 30 unaonekana Babu/Bibi kweli mkuu?
Ni sahihi maana atakuwa kapunguza homoni ya testosterone kwa kiasi kikubwa ambayo ingemfanya akue haraka badala yake anakuwa kijana tu kama Steve NyerereNadhani wale wanappiga nyeto hawazeeki mapema.
Kama huamini fuatilia.
Vijana wanapitwa na mengi mno.
Asante sana Kwa kunifahamisha kuwa Steven Nyerere naye ni mwana CHAPUTA mwenzangu.Ni sahihi maana atakuwa kapunguza homoni ya testosterone kwa kiasi kikubwa ambayo ingemfanya akue haraka badala yake anakuwa kijana tu kama Steve Nyerere
Mtindo wa maisha na urithi wa vina sabaSina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe.
Swali langu ni hili hapa,
Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka?
Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua.
Nipe sababu nyingine.
Kwanini unaweza ukawasimamisha watu wawili hapa na wote wana miaka 70 ila mmoja anakua kachoka vibaya sana huku mwingine akiwa bado sana yupo physically fit and mentally fit, hii imekaaje?
Pombe ipo kwenye kundi la vinywaji sio aya chukua hiiSina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe.
Swali langu ni hili hapa,
Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka?
Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua.
Nipe sababu nyingine.
Kwanini unaweza ukawasimamisha watu wawili hapa na wote wana miaka 70 ila mmoja anakua kachoka vibaya sana huku mwingine akiwa bado sana yupo physically fit and mentally fit, hii imekaaje?
Kuna kajani fulani ka asili ukitafuna hutazeeka mapema.Roho mbaya, ukiwa na roho mbaya unawahi kuzeeka.
Kwa Mimi na zani ni ugumu WA maisha , kukosa Amani , kutofanya mazoezi & nyingine kujiweka kama Mzee .Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe.