we mwongo babu yangu kaanza kunywa bia akiwa na miaka 20 mpaka now anagonga 95 ukimuona kama ana 60 mwenyewe niko na 30+ hata ndevu moja haijatoka na nina kula gambe na bangi mix sigara hakuna mfano haiwez pita siku bila bia 4 bangi 5 komon 6 sigara 8 lakin niko kama mtu wa miaka 24 na nategemea kufa nikiwa na miaka 89 na wiki sita na masaa mawili kama unabisha weka nyumbaaKwa nini unalazimisha ziwepo sababu nyingine zaidi ya ulizozitaja? Kama ni hizo hizo je. Mimi sinywi pombe ila rika langu lote wanywa pombe kuanzia walioko vijijini na mjini wote wanaonekana ni mababu halafu mimi form six.
Kapi Hako 😎Kuna kajani fulani ka asili ukitafuna hutazeeka mapema.
Sasa hapo inategemea ila sitokwambia inategemea na nini maana nataka na wewe ujiulizeJiulize kwa nini kuna watu ni werefu na wengine ni wafupi
Kwa nini wote tusiwe na kimo kimoja?
Yaan vina 7 ndio vinavyofanya watu fulani wawahi kuzeeka na watu fulani wachelewe kuzeeka?
Hahaha na huyu sasa ndio mr pipawe mwongo babu yangu kaanza kunywa bia akiwa na miaka 20 mpaka now anagonga 95 ukimuona kama ana 60 mwenyewe niko na 30+ hata ndevu moja haijatoka na nina kula gambe na bangi mix sigara hakuna mfano haiwez pita siku bila bia 4 bangi 5 komon 6 sigara 8 lakin niko kama mtu wa miaka 24 na nategemea kufa nikiwa na miaka 89 na wiki sita na masaa mawili kama unabisha weka nyumbaa
Evelyn Salt ni mwanaume?😳Kwa hiyo braza umeamua kuwa platinum member?
Nimesema taja nyingine tofauti na hizo wewe taja sababu nyingine usitaje hizo nilizozisema au niongezee na changamoto ya afya maana kuna watu anaanza kuugua kuanzia ana mwaka mmoja huyu kuzeeka haraka sio jambo la ajabuKwa nini unalazimisha ziwepo sababu nyingine zaidi ya ulizozitaja? Kama ni hizo hizo je. Mimi sinywi pombe ila rika langu lote wanywa pombe kuanzia walioko vijijini na mjini wote wanaonekana ni mababu halafu mimi form six.
Evelyn Salt ni mwanaume?😳
Joanah acha utani huo kwa mwenzako bhana😂
Aisee bhasi yaliyomo kweli yamo, unayemdhania sie na usiyemdhania ndiye🙌Ana kende nene kabisa huyo
Usije kujichanganya kwa huyo bro 🤣Aisee bhasi yaliyomo kweli yamo, unayemdhania sie na usiyemdhania ndiye🙌
Kuna kipindi nilitaka niingie kingi. Unajua haya mazoea tunayoyajenga humu sometimes huamsha intimacy kati yetu. Wajuvi wananielewa hapa😀Usije kujichanganya kwa huyo bro 🤣