AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ualimu kivipi bro?Genes
Na (ualimu)
Genes
Na (ualimu)
Na baada ya muda naoa broKwa hiyo braza umeamua kuwa platinum member?
Ukiwa mwalimu speed ya uzee inapunguaUalimu kivipi bro?
This is a biased fact.Roho mbaya, ukiwa na roho mbaya unawahi kuzeeka.
Uplatinum bila mke ni kosa kisheriaNa baada ya muda naoa bro
Duuuh wewe umethibitisha wapi?Roho mbaya, ukiwa na roho mbaya unawahi kuzeeka.
Hiyo formula haifanyi kazi kwa walimu wa siku hizi.Ukiwa mwalimu speed ya uzee inapungua
Wewe mwalimu wako wa shule ya msingi si ushamzidi uzee?
Walimu hawazeeki, cheki hata walimu wako waliokufundisha we unaonekana mzee kwaoUalimu kivipi bro?
Labda waalimu wa huko Dasilamu, wa huku kinampanda wanazeeka miika miwili baada ya kuajiriwa.Ukiwa mwalimu speed ya uzee inapungua
Wewe mwalimu wako wa shule ya msingi si ushamzidi uzee?
Jibu ni simple sana. Inatokana na uwezo wa cell za mtu kwenye kuzaliana (Cell formation).Sina haja ya kuiuliza AI nakuuliza wewe na wewe usiiulize AI. Nipe jibu lako wewe km wewe.
Swali langu ni hili hapa,
Kwanini kuna watu wanawahi kuzeeka na kwanini kuna watu wanachelewa kuzeeka?
Usiniambie suala la chakula, vinywaji na mazoezi, tafadhari sana hayo yote nayajua.
Nipe sababu nyingine.
Kwanini unaweza ukawasimamisha watu wawili hapa na wote wana miaka 70 ila mmoja anakua kachoka vibaya sana huku mwingine akiwa bado sana yupo physically fit and mentally fit, hii imekaaje?
Duuuh wewe ndio utuaambie unaonaje kwani hao wenzio wa tel aviv mnawahi au mnachelewa kuzeeka?Na waliofanya parade juzjuz tel aviv pia hawazeek
Oya Mbaga Jr secretarybird dogo kipapai (bwabwa) bado yupo bwanaaa, anabadirisha tu majina akisha gundulikašNa waliofanya parade juzjuz tel aviv pia hawazeek
Labda wale walimu wa zamani.Walimu hawazeeki, cheki hata walimu wako waliokufundisha we unaonekana mzee kwao