Jibu swali! Naomba kuuliza na hili swali ninaomba nijibiwe.

Jibu ni rahisi kwanza genes,pili hali ya kiuchumi,mazingira na kwa mbali mtindo wa maisha
 
Naongezea vitu vitatu:-

1.Stress - Hiyo ndiyo namba moja ya kuzeesha watu
2.Magonjwa -Ukipigwa pigwa na mgonjwa hudhoofisha mwili
3.DNA - Genes
 
Inategemea na udongo uliotumika siku ya kuumbwa kwa mtu huyu.. 🀣
 
Kuna sie tunazeeka upesi ila ndo zile koo zenye zinaishi miaka mingi, bibi anakaribia miaka tisini ila ana kaka yake
 
Ni sahihi maana atakuwa kapunguza homoni ya testosterone kwa kiasi kikubwa ambayo ingemfanya akue haraka badala yake anakuwa kijana tu kama Steve Nyerere
Asante sana Kwa kunifahamisha kuwa Steven Nyerere naye ni mwana CHAPUTA mwenzangu.

Mungu akuweke...
 
Mtindo wa maisha na urithi wa vina saba
 
Pombe ipo kwenye kundi la vinywaji sio aya chukua hii
πŸ‘‡
Uchi aka ngono
Shahawa au maji mtakatifu ya kike hayo sio maji ni nguvu iyo unaitoa lazima uchakae na watu wanachakatana sio poa.
 
Jibu ni STRESS.
Ukitaka usizeeke haraka ishi stressfree life jambo ambalo si rahisi ila inawezekana kama utayaangalia maisha kwa mtazamo tofauti na ulozoeleka.Ukiweza kuridhika na kidogo kinachokupatia basic needs na FURAHA hutazeeka.Furaha ni anti aging.Watu wenye furaha hawazeeki na uzuri ni kwamba huitaji utajiri kuwa na furaha bahati mbaya wengi hudhani wakiwa matajiri watakua na furaha ila ukweli ni kwamba harakati za kuutafuta utajiri zitakupa stress na kukuweka mbali na furaha na utazeeka fasta.

No matter how healthy you eat,exercise, no alcohol,good genes, na good economy ukiwa na stress utazeeka tu.Stres itakuletea sio tu makunyazi na kubadili texture ya ngozi yako bali magonjwa mengi ya mwili na akili.Baada ya muda nuru ya uso itapotea na maumivu ya magonjwa yatajichora usoni mwako.Mtu akikuona anajua tu we 'mzee' ni mgonjwa.
 
Kwa Mimi na zani ni ugumu WA maisha , kukosa Amani , kutofanya mazoezi & nyingine kujiweka kama Mzee .


Leo nimekutana na mwanamke kidogo nimwambie, shikamoo nilizani kuwa ni bibi

Bahati nzuri, yeye ndiye alianza kunisalimia

Nilivyo tulia kumtazama vizuri Nika gundua anaweza kuwa binti WA miaka 22 au 23.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…