Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

Hawa hawaelewi kitu alafu mkuu usitumie nguvu nyingi kumwelekeza mtu ambae hataki kuelewi, unapoteza nguvu nyingi kumuelekeza mtu asieelewa ni kupoteza muda
 
Wewe malizia huo ugoro ulale, wewe si ndio shabiki wa US niambie wapi kuna mashoga wengi duniani km sio US?

Wewe ni shoga mmoja wa US uliekosa bwana wa kucheza na tako lako peleka kinyeo chako uko wakakuzibue mtaro huo,
Mnapigwa na mashoga???? Kama mnapigwa na mashoga nyie ni mashoga mazee, mashoga Babu, mshageuzana sana na wajukuu zenu!
Nusu ya waliokusanya/ mobilization kwa ajili ya kwenda vitani mmeonekana unfit na kurudishwa home....mnepoteza shilingi ya chini
 
Alisema lini? Na wapi? Chanzo cha taarifa yako
 
Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Mkuu, hivi ni kwamba umeamua ku block akili yako kutambua kuwa Russia anapigana na NATO hapo Ukraine ama ni makusudi tuu au akili hauna?naamini HAUNA AKILI ya kufikiri
 
Broo nyuklia sio AK 47.
Eti atumie Russia dhidi ya Ukraine Marekani waijibu Russia dhidi ya shambulio. Hili sahau. Tuliokuwemo katika miaka ya Vita baridi tunajua na kukumbuka Kwamba Tension ( sintofahamu) ya kijeshi iliopo Ukraine haifiki hata Robo ya tukio la Cuban missiles Crisis.
Kulikua na urushianaji maneno was kutisha.
Ukiachana na Hilo Kuna Vietnam alipokimbizwa Marekani na wavietnam wakisaidiwa na Warusi ( Soviet) kwa kila kitu .
Pia Kuna hii wasovieti ( Russian) walipokimbizwa vibaya Afghanistan baada ya Vita ya miaka takriban 9. Hapa Wamarekani walikuwa dhidi ya Wasovieti wakiwasaidia was Afghanistan.
Kwahiyo basi si rahisi Kwamba endapo itatokea Russia pekee ndo itaangamia. West yote hasa NATO ya ulaya itaangamia . Yatapigwa makombora Russia yote lakini kumbuka Kuna submarine ziko active mda wote zitafanya exchange ya makombora. Atabaki Nani?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Usichokijua Ni Kwamba ile US unayohisi Ni Bora Sana kivita imekaa vitani dhidi ya washika Smg wa Afghanistan kwa miaka 21 na wakafeli.
Hao hao US wamekimbia Vietnam baada ya kukaa kwa zaidi ya miaka 10 na hasara y ndegevita 5000 watu zaidi ya 38000.
North Korea pia walikimbia.
Russia sio dhaifu Kama unavyofikiria mkuu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Ukraine accuses Russia of genocide after bombing of children's hospital.

LVIV, Ukraine, March 9 (Reuters) - Ukrainian's president accused Russia of carrying out genocide after officials said Russian aircraft bombed a children's hospital on Wednesday, burying patients in rubble despite a ceasefire deal for people to flee the besieged city of Mariupol.

The attack, which authorities said injured women in labour and left children in the wreckage, is the latest grim incident of the 14-day invasion, the biggest assault on a European state since 1945.

Ukraine accuses Russia of genocide after bombing of children's hospital

Ukraine war: The children suffering as bombs drop on schools, nurseries and hospitals.

At least 103 children have died in the conflict, Ukrainian officials said, and while many have fled the country, millions have stayed
Children face an ‘immediate and growing threat’ from Russia’s invasion of Ukraine, said the UN Children’s Fund UNICEF.

https://www.google.com/amp/s/amp.sc...ine-war-children-suffering-bombs-drop-schools
 
hahahaaa nimecheka sana eti shetani atabaki anashangaa
 
Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Marekani+NATO wamekaa Afghanistan kwa miaka 20 na mwishowe wamekimbia kwa aibu na Jamaa waliowapiga US Ni wanavaa kobazi tu na ak-47 na hapo hawajapata kutoka nchi nyingine.

Kwa kweli Nilikuaga nadhani US Ni superpower Ila kwa kitu wataliban waliwafanya niliwadharau sana.

]
 
Kwan huyo Putin matamko mangapi kayatoa Na hajatekeleza hata moja? Hayo ni majigambo tu
 
Urusi nilikua namwamini sana ila tokea vita ya Ukraine nimemuona maneno mengi tu kama Ali Sahafu...yaani asumbuke na Ukraine mwezi wa nane atishie Dunia sio kweli...
Putin kama mandonga tu ni entertainer mzuri sana wa mdomo lakini hakuna kitu pale yaaani nilikuwa naamini ni mwamba sana dah kaniangusha sina tena imani nae
 
Mkuu acha chai mataifa 20 yapigane na urusi na abaki salama kweli? Sasa hivi wangekua Moscow na Saint Petersburg
 
Wanafanya vitu kwa malengo baada ya malengo yao kutumia wanawaachia lengo ilikua ishu ya Osama na vikundi vyake wanawaachia wale wahuni juzi wameanza kuwatoa watoto wa kike waliotimiza miaka 15 kutofundishwa na walimu wanaume mashuleni na msako unaendelea Nchi nzima pana vitu vya kushangilia mazee..
 
Mkuu wacha niendelee kutokujua ila wewe usiejua huwezi kunielekeza kitu wacha niwe dumavu tuu...mimi nimejua kuwa wale Wa Ukraine ni mabingwa wa guerilla war hata mission nyingi za UN wanawatumia wao maana ilibidi nifatilie inakuaje wale jamaa kusumbua vile wakati kichwani niliaminishwa vitu tofauti kabisa humu ukiamka ni nyuzi na siraha za kisasa za Urusi vita sio rahisi kama watu mnavyoichukulia mara...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…