1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
Hawa hawaelewi kitu alafu mkuu usitumie nguvu nyingi kumwelekeza mtu ambae hataki kuelewi, unapoteza nguvu nyingi kumuelekeza mtu asieelewa ni kupoteza mudaHakutaka kupiga kama [emoji631] anavyoshambulia mpaka watoto wa shule na mahospitali kama alivyofanya katika sehemu nyingi duniani
Mrusi ameheshimu sana hii vita na isitoshe ni ndugu tu
America wao wakinyanyua makombora wanapiga hata desert popote iwe kambi ya jeshi au walipojihami wananchi ni kupiga tu
Nakumbuka bunker busters alizotumia Iraq huku akisema ni wameficha silaha kali wakati ni mahandaki ya kujificha watu
Ila vita mbaya ni kuisikia kwa jirani tu