Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Wakomunist sifa nyingi ila uwezo mdogo.
Nani kakwambia Russia ni taifa la kikomunisti -nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakomunist sifa nyingi ila uwezo mdogo.
Hii mikwara ya "Putin alisema ...." tumeshaizoea.Putin alisema atakaeisaidia Ukraine kwa silaha atakiona cha moto.Putin alisema Wanajeshi wa Ukraine wamuondoe Zelensiky na wao wajisalimishe mara moja.Putin alisema atapiga Finland na Sweden wakithubutu kutaka kujiunga na NATO.Putin alisema hiki Putin alisema kile and the list goes.
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu - ni lini Putin aliwahi kusema Sweden na Finland wakijiunga na NATO atawashambulia, lini??
😄😄😄 Hata somalia na kule Vietnam pia US ilifanya vitu vyake kwa malengo 😄😄😄Wanafanya vitu kwa malengo baada ya malengo yao kutumia wanawaachia lengo ilikua ishu ya Osama na vikundi vyake wanawaachia wale wahuni juzi wameanza kuwatoa watoto wa kike waliotimiza miaka 15 kutofundishwa na walimu wanaume mashuleni na msako unaendelea Nchi nzima pana vitu vya kushangilia mazee..
Prorussia mkiwa mnaandika jaribuni kutumia bongo zenu kidogo, msiandike tu kama mnatapika.Hakutaka kupiga kama [emoji631] anavyoshambulia mpaka watoto wa shule na mahospitali kama alivyofanya katika sehemu nyingi duniani
Mrusi ameheshimu sana hii vita na isitoshe ni ndugu tu
America wao wakinyanyua makombora wanapiga hata desert popote iwe kambi ya jeshi au walipojihami wananchi ni kupiga tu
Nakumbuka bunker busters alizotumia Iraq huku akisema ni wameficha silaha kali wakati ni mahandaki ya kujificha watu
Ila vita mbaya ni kuisikia kwa jirani tu
Wengi wanadandia tu na ubishi wa kijiweni ila hata mchakamchaka hawajakimbia let alone FrontlineHawa hawaelewi kitu alafu mkuu usitumie nguvu nyingi kumwelekeza mtu ambae hataki kuelewi, unapoteza nguvu nyingi kumuelekeza mtu asieelewa ni kupoteza muda
Ungetumia ubongo wako kidogo tu ungeelewa kwa nini Russia imeshambulia maeneo hayo kama shule, hospitali na shopping malls.Prorussia mkiwa mnaandika jaribuni kutumia bongo zenu kidogo, msiandike tu kama mnatapika.
View attachment 2380385View attachment 2380386View attachment 2380387
Ungetumia ubongo wako kidogo tu ungeelewa kwa nini Russia imeshambulia maeneo hayo kama shule, hospitali na shopping malls.
Ngoja nikukumbushe kupitia ripoti ya amnesty intl.
View attachment 2380428View attachment 2380429View attachment 2380430
Hivi unafikiri vita watu huwa wanaenda kucheza msita etiHamfatilii vita harafu mnakuja kuandika humu ushaona huko yake makaburi waliyozikwa Wa ukraine wanayofukua sasa hivi na kuyazika upya wamesema hiyo kazi itachukua miaka kadhaa...pana mass burial za kutosha kama kitu hukijui tulia mkuu..
Hamfatilii vita harafu mnakuja kuandika humu ushaona huko yake makaburi waliyozikwa Wa ukraine wanayofukua sasa hivi na kuyazika upya wamesema hiyo kazi itachukua miaka kadhaa...pana mass burial za kutosha kama kitu hukijui tulia mkuu..
kuwa wazungu hawajui kama mkiachwa mtakuwa vzr sio ? mtu alikuandalia future yako huez shindana nae hata mkibadilisha mabara , israel ya 1948 ila leo hii inawasaidia nyiny wahenga wa 1885Acha watumie tuuu I think Africa tupo safe nacho taka kuona ni Washington ipo kama mbagala
Wanaouwawa Ukraine ni raia wa Ukraine sio wa Russia, ulitaka upande gani utetewe??!Hivi unafikiri vita watu huwa wanaenda kucheza msita eti
Watu Vitani lazima wafe ndio maana ya vita, silaha za kila aina zinatumika
Wala sijaelewa unatetea upande gani
Sijaelewa uko upande upi wa ubishi au fact
Mass Graves inaweza kuwa Legacy pia
Human right abuses
inajilipua kwenda wap ? yaan wewe ujue hilo halaf USA wasiwe na solution , unafikir kwa akili yako fupi USA atalipua nyuklia kutokea nchini kwake ? kabla ya kuchangia vitu vingine reason wellOk...umeandika vizuri...hiyo inaitwa ' first strike'....Lakini kitu ambacho pengine hujui na kwa maana hiyo hujaainisha hapa ni kuwa Russia kwenye 'First strike' Russia ana Kinga mbaya Sana kwa maadui zake nayyo ni kitu kinachoitwa ' hand of death'...Maana yake hapa ni kuwa hata Kama Russia amewahiwa na wenzake na hasa USA kwa first strike' Lakini Russia ana system ambayo mitambo ya nyuklia itajilipua yenyewe bila kuwepo na mkono wa binadamu kubonyeza vitufe...
naona ulifika na ukapiga picha ili ukirud tena usipoteee tena [emoji16][emoji16] usidhanie wengine ni level zakoIsanga ndipo ilpo hii hospitali?Au Isanga nyingine? View attachment 2380047
kwann Marekan hawakuivamia Ethiopia kipind cha vita na Watigray ? kwann hawakuivamia Azebaijan baada ya kuivamia Armenia , pia kwann hawakuivamia India ilipoivamia kashmir , sio kila situation USA atavamia , USA hufuata taratibu za kuiandaa dunia kwenye kila operation ukiachana na Vietnam na Iraq , tofaut na Urusi ambae akiamka anavamia tuUnafikiri yangekua hayaogopeshi wamarekani wangekua hawajamvamia mpaka leo? Kama silaha zake hazina kitu marekani angekua anahangaika kila siku kutumia pesa nyingi kuweka military bases kumzunguka Urusi?
Mnafikiri marekani ni wajinga kutokupambana na Urusi mpaka leo?
sasa hv Ukraine mnaitambua kumbe , aya mdo mdo kitaelewekaKwani Ukraine unaichukuliaje mkuu? Unadhani Ukraine ni kama Somalia au Yemen?
Hebu ingia google uangalie GDP ya Ukraine kabla ya vita alafu urudi hapa tujadili. Pia uangalie marekani amepambana kwa muda gani Afghanistan, na alitumia muda gani Vietnam.
Kuna vitu mnaviongea kishabiki tu bila kujua undani wake.
Ndio maana nikasema vita ni vita na watu wanakufa tuWanaouwawa Ukraine ni raia wa Ukraine sio wa Russia, ulitaka upande gani utetewe??!
Hawa wote ni Wa-Ukraine, hakuna Warusi hapa
View attachment 2380440View attachment 2380442View attachment 2380443