Uchaguzi 2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

Uchaguzi 2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

Mmoja ni mzalendo wa madaraja na flyovers kama makaburu mwingne anataka uhuru wa kuongea,uhuru na haki za raia

Mmoja anajifanya binadamu kipindi cha kampeni,akiwa serikalini anawambia wananchi kwa nini UKIMWI ni nyie mwingne anapinga sheria za kukandamiza raia kama asilimia 15 % ya loan board na utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara

Mmoja amejaaa visasi vya wazi wazi, alikataza vyombo vya dola kutochunguza tukio la watu kupigwa risasi,akakataa kwa makusudi kuidhinisha matibabu kwa mhanga ,mfano akamwambia Dr Shien mtu anakataa kukupa mkono halafu siku akiugua unatumia huo Mkono aliokataa kuidhinisha hela za matibabu hiiiiiiiii,mwingne yeye anapigania haki kwa watu wenye matatizo

Mmoja anahistoria ya kuumiza watu bila fidia mwingne anatetea haki

Mmoja anaubaguzi wa kimaeneo hasa kanda ya ziwa huku akibeza kaskazini ,mwingne anapigania haki kwa kila mtu
Mmoja anaogopa sana kushitakiwa hasa kule sijui wanakuita miga,Kuna mmoja hajali kushitakiwa hasa akiwa anapigania haki ya watu anao waongoza.
 
-kuna mmoja ana ukabila na anapendelea upande wa kwao
- Kuna mmoja sio mtanzania
- Kuna mmoja hapendi wafanyakazi wa umma,na wafanyabiashara
- Kuna mmoja akiteuliwa kuwa Rais atateua ndugu na ukanda fulani kupewa uongozi kuanzia mawaziri,wakuu wa mikoa,wakuu wa Wilaya nk.
- Kuna mmoja amebomoa nyumba za watu ili kupisha maendeleo
- kuna mmoja amebomoa nyumba za watu ambao hawakumpa kura na kuacha kuwabomolea waliompa Kura
- Kuna mmoja amefanya watanzania wameishi Kama mashetani
- Kuna mmoja hakujali masuala ya ajira,mfumo mbovu wa elimu
- Kuna mmoja anadifia wanawake weupe Ila hamsifii mke wake Wala hamjali mke wake
- Kuna mmoja amefilisi wafanyabiashara na kuzoa fedha kwao kwa nguvu ili kuleta maendeleo
- Kuna mmoja ahambiliki,ashauriki kila kitu anakijua
- Kuna mmoja akipewa madaraka ataongezewa muda
- Kuna mmoja ukimshauri anakufukuza kazi
- Kuna mmoja baadhi ya mikoa kwa kipindi Cha miaka mitano hajapeleka miradi ya maendeleo kisa anasema wasubiri kwanza
- Kuna mmoja amewasababishiwa wakazi na wafanyabiashara hasara ya majengo na viwaja kushuka Bei mji mzima wa dar,na nyumba kukosa dhamani
- Kuna mmoja miaka mitano hakukumbuka kujenga kwa kiwango Cha lami barabara ya kutoka tarime ,mungumu Hadi Serengeti,, katoro Hadi ushirombo, geita Hadi Kahama, kahama Hadi bulyankyulu, mererani ,kiteto Hadi dodoma, karatu,ziwa eyasi Hadi bariadi,
- Kuna mmoja amesahau kupeleka barabara ya kupita gari,maji na nishati ya umeme Kijiji kilichopo geita Kijiji Cha Kamwanga pamoja na kwamba Kijiji hicho lipo jirani na mgodi mkubwa wa dhahabu duniani.
- Kuna mmoja ameshindwa kuweka mradi wa maji Safi na maji taka mji wa chato na geita kwa kipindi Cha miaka 5 iliyopita.
Kuna mmoja ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini bila kujali kitakuwa na matokeo hasi au chanya lakini lazima atajaribu kukifanya hadi aone mwisho wake, mwingine huwa hana misimamo na hoja zake ni mtaalamu wa kubadili gia angani haraka sana na mara nyingi huwa hana kumbu kumbu aliongea nini.
 
Magufuli amekwisha sema wa Tanzania sio wajinga sana,kwa Maana kaujinga bado kapo.
Hivi kwa MTU mwenye akili(asiye mjinga) anaweza kumsikiliza Magufuli kwa wakati huu?
Shombo na nyodo zote alizotufanyia kwa miaka 5,Leo anajifanya mpole vile anajua anatafuta huruma kwa wananchi wamchague tena kisha atukanyagekanyage kabisaa.
MAGUFULI HATUFAI TENA JAMANI SI MZALENDO NA HANA UPENDO KWA WANANCHI KAMA ANAVYOJIONYESHA SASAHIVI.
Kwasasa mutamuona ni binadamu kwamana analake analitafuta,
KAMA ANAJIAMINI BASI AKIWA KWENYE KAMPENI AENDELEE KUFOKAFOKA NA KUTOA MANENO YA DHARAU NA KEJELI KAMA ALIVYOKUWA AKIFANYA(KAWAIDA YAKE).
 
Tumia jicho lako la tatu kutueleza utofauti wa hawa viongozi wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.

Baada ya kumalizika kwa kampeni za leo kwa wagombea wote wawili mmoja akiwa Dodoma na mmoja akiwa Dar es salaam wote waliandike jumbe kwenye kurasa zao za Twitter.

Kwa kauli hizi inatupa picha namna wagombea hawa wanavyo tofautiana katika mambo mengi.

Lissu

Hili ndilo jibu letu kwa waliokuwa wanadai kwamba hatuna sera!!Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu! Njia ya kupata maendeleo sio lazima iwe iliyojaa damu, mateso na vilio. Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ndio njia bora zaidi.View attachment 1552548
Magufuli

Nawashukuru wana CCM wote na Watanzania wa vyama vyote kwa kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM 2020 Jijini Dodoma. Pia nawashukuru wasanii, waandishi wa habari, viongozi wa Dini, n.k waliojitokeza kuniunga mkono katika uzinduzi huu. Maendeleo hayana chama. Tanzania Hoyee
View attachment 1552551

  • Kwa upande wangu naona Kuna mmoja amejawa Chuki na visasi n.k alafu Kuna mmoja yuko na moyo mweupe wenye furaha bila vinyongo, chuki, visasi n.k
  • Kuna mmoja anapangilia sana maneno kuepuka kuropoka ovyo, alafu Kuna mmoja huongea tu kile kinachomjia kichwani kwa wakati huo.
  • Kuna mmoja anapenda Sana utani unao tokana na utamaduni wa kitanzania, alafu Kuna mmoja yeye kwake kila kitu ni nongwa kwakifupi hana jema kwake kila kitu ni kibaya.
  • Kuna mmoja ana siasa za asili ya kiuhuni uhuni yani haziko ki presidential alafu Kuna mwingine ni mtulivu sana.
  • Mmoja anaweka sana utaifa mbele alafu mwingine ni mwanaharakati zaidi yupo tayari kwa chochote ikiwa tu kinamletea political popularity.
Kama umeanzisha hii post ili ''kumbeba'' Magufuli basi unebugi stepu vibaya mno. Hapa umemwanika jinsi asivyo na vision na nchi yetu, alivyo mweupe kichwani. Kwa kifupi umefanya kinyume chake. Hayo aliyoandika Lissu ndiyo hasa diri ya Tanzania tangu tupate uhuru na mwalimu Nyerere ndiyo ulikuwa msimamo wake mkuu.
 
Tumia jicho lako la tatu kutueleza utofauti wa hawa viongozi wawili wenye ushawishi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa 2020.

Baada ya kumalizika kwa kampeni za leo kwa wagombea wote wawili mmoja akiwa Dodoma na mmoja akiwa Dar es salaam wote waliandike jumbe kwenye kurasa zao za Twitter.

Kwa kauli hizi inatupa picha namna wagombea hawa wanavyo tofautiana katika mambo mengi.

Lissu

Hili ndilo jibu letu kwa waliokuwa wanadai kwamba hatuna sera!!Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu! Njia ya kupata maendeleo sio lazima iwe iliyojaa damu, mateso na vilio. Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu ndio njia bora zaidi.View attachment 1552548
Magufuli

Nawashukuru wana CCM wote na Watanzania wa vyama vyote kwa kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za CCM 2020 Jijini Dodoma. Pia nawashukuru wasanii, waandishi wa habari, viongozi wa Dini, n.k waliojitokeza kuniunga mkono katika uzinduzi huu. Maendeleo hayana chama. Tanzania Hoyee
View attachment 1552551

  • Kwa upande wangu naona Kuna mmoja amejawa Chuki na visasi n.k alafu Kuna mmoja yuko na moyo mweupe wenye furaha bila vinyongo, chuki, visasi n.k
  • Kuna mmoja anapangilia sana maneno kuepuka kuropoka ovyo, alafu Kuna mmoja huongea tu kile kinachomjia kichwani kwa wakati huo.
  • Kuna mmoja anapenda Sana utani unao tokana na utamaduni wa kitanzania, alafu Kuna mmoja yeye kwake kila kitu ni nongwa kwakifupi hana jema kwake kila kitu ni kibaya.
  • Kuna mmoja ana siasa za asili ya kiuhuni uhuni yani haziko ki presidential alafu Kuna mwingine ni mtulivu sana.
  • Mmoja anaweka sana utaifa mbele alafu mwingine ni mwanaharakati zaidi yupo tayari kwa chochote ikiwa tu kinamletea political popularity.
Mmoja Ni msomi wa kweli mwingi Ni msomi feki hata English yake Ni shida

Mmoja ataka Mdaharo mwingine anaogopa

Mmoja ana exposure mwingine Ni mshamba
Mmoja ana sera mzuri za maendeleo ya watu haki na amani, mwingine ilikuleta maendeleo Ni Vita, kuua kuteka, na kumwaga damu za watu
 
Back
Top Bottom