Uchaguzi 2020 Jicho la tatu: Huu ndio utofauti wa Tundu Lissu na John Magufuli

Mmoja anaogopa sana kushitakiwa hasa kule sijui wanakuita miga,Kuna mmoja hajali kushitakiwa hasa akiwa anapigania haki ya watu anao waongoza.
 
Kuna mmoja ni mtu mwenye misimamo isiyoyumba anasimamia anachokiamini bila kujali kitakuwa na matokeo hasi au chanya lakini lazima atajaribu kukifanya hadi aone mwisho wake, mwingine huwa hana misimamo na hoja zake ni mtaalamu wa kubadili gia angani haraka sana na mara nyingi huwa hana kumbu kumbu aliongea nini.
 
Moja dhamira inamsuta sana kwa utumiaji mbaya wa madaraka kwa kuamuru mwingine auwawe kabla ya Mungu kugoma.
 
Mwingine anaombaomba hela kwenya kampeni tena kwa amri
Mwingine fedha zote za serikali anazipangia kazi yeye bila kujali uwepo wa bajeti au kuidhinishwa na vyombo husika na kugawa fedha barabarani
 
Magufuli amekwisha sema wa Tanzania sio wajinga sana,kwa Maana kaujinga bado kapo.
Hivi kwa MTU mwenye akili(asiye mjinga) anaweza kumsikiliza Magufuli kwa wakati huu?
Shombo na nyodo zote alizotufanyia kwa miaka 5,Leo anajifanya mpole vile anajua anatafuta huruma kwa wananchi wamchague tena kisha atukanyagekanyage kabisaa.
MAGUFULI HATUFAI TENA JAMANI SI MZALENDO NA HANA UPENDO KWA WANANCHI KAMA ANAVYOJIONYESHA SASAHIVI.
Kwasasa mutamuona ni binadamu kwamana analake analitafuta,
KAMA ANAJIAMINI BASI AKIWA KWENYE KAMPENI AENDELEE KUFOKAFOKA NA KUTOA MANENO YA DHARAU NA KEJELI KAMA ALIVYOKUWA AKIFANYA(KAWAIDA YAKE).
 
Kama umeanzisha hii post ili ''kumbeba'' Magufuli basi unebugi stepu vibaya mno. Hapa umemwanika jinsi asivyo na vision na nchi yetu, alivyo mweupe kichwani. Kwa kifupi umefanya kinyume chake. Hayo aliyoandika Lissu ndiyo hasa diri ya Tanzania tangu tupate uhuru na mwalimu Nyerere ndiyo ulikuwa msimamo wake mkuu.
 
Mmoja Ni msomi wa kweli mwingi Ni msomi feki hata English yake Ni shida

Mmoja ataka Mdaharo mwingine anaogopa

Mmoja ana exposure mwingine Ni mshamba
Mmoja ana sera mzuri za maendeleo ya watu haki na amani, mwingine ilikuleta maendeleo Ni Vita, kuua kuteka, na kumwaga damu za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…