Sodoma na gomora Sababu za kuangamizwa ni Ushoga... Je kuna nani asiyeujua ushoga kama ni tabia mbaya.. nani aliyetangaza sodoma na gomoraHata kupeleka hayo mashindano Uarabuni.
Mwarabu ameingia kingi.
Amejikuta yeye ndie anayetangaza. Ukiukataa au kuukubali maana yake unautangaza.
Waarabu wameingia kingi
Na akili zao fupi za MAKOBAZI.
MUNGU INUSURU DUNIA TUNAELEKEA PABAYA MNO.
Rudia kusoma mada uelewe vizur mkuu!What you resist persist….Law of attraction…
Kama tanzania tunajitahidi kupigana na umaskini but umskini ndo kwanza unatukimbilia…ahahaa
Qatari hawapambani na ushoga bali wanazuia kusifanyike hayo mambo public
Angalia kwa Jicho la pili nalo itazipa Nguvu nchi nyengine ndogo ku resist matakwa ya magharibi.Nguvu wanayo tumia kupambana na ushoga ime fanya habari za ushoga ziwe popular zaidi uarabuni na middle east yote kuliko kipindi chochote kile.
KWA kawaida kwa tamaduni za kiarabu habari za ushoga huwa hazizungumzwi kabisa hadharani ni mwiko mkubwa sana kuzungumza habari kama hizo.
Qatar hawakuwa na ulazima wowote ule wa kuandaa hayo mashindano huku wakijua watalazimika kuzungumza habari za ushoga na mashoga.
Shida sio mada ni mleta mada,je umemuelewa?Rudia kusoma mada uelewe vizur mkuu!
Kwamba wewe intelligence yako inafanya kazi zaidi kuliko intelligence ya Qatar ambalo ni taifa tajiri lenye mahusiano ya kijajusi na nchi kama Russia na China?This is what I am.talking about. I am.strongly blv kombe la DUNIA mwaka huu limepelekwa Qatar strategically KWA ajili ya kuufanya ushoga uwe popular KWA ku upromote in an indirect way.
Wazungu iko janja janja sana
Nimesoma na Kuelewa mada vizuri mkuu.Shida sio mada ni mleta mada,je umemuelewa?
Hawa jamaa waliplan hivi hivi ulivyohisi. Walichoki target ni INDIRECT PUBLICITY. Ni watu hatari sana. Kadili nguvu kubwa inavyotumika kupinga kwenye media na propaganda zao za kupata indirect publicity zinafanikiwa.Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)
Kabisa mkuu sasa hivi KILA mtu anazungumzia ushoga na sio mpiraHawa jamaa waliplan hivi hivi ulivyohisi. Walichoki target ni INDIRECT PUBLICITY. Ni watu hatari sana. Kadili nguvu kubwa inavyotumika kupinga kwenye media na propaganda zao za kupata indirect publicity zinafanikiwa.
Kaka unajua tukianzisha kampeni ya kupinga mapenzi ya kaka ma dada kitu GANI kitafuatia?Angalia kwa Jicho la pili nalo itazipa Nguvu nchi nyengine ndogo ku resist matakwa ya magharibi.
Kuna watu hapa Duniani wanajiona miungu watu wanachokifanya wao wanataka dunia nzima ikifanye, matakwa ya Africa ama nchi nyengine masikini hayana maana yoyote kwao.
Resistance kama hii itawasaidia wapambanaji wowote duniani popote walipo.
Tabia hzo zinafanyika Sana nchi hzo ila Kwa SiriMambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.
Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.
Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.
Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)
Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.
Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.
Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.
JK akiwa Rais aliwahi kuulizwa swali na mwandishi wa CNN.
Mwandishi: Nini misimamo wako kuhusu haki za mashoga.
J.K: katika jamii ninayo ishi baadhi ya mambo ni taboo/mwiko hata kuyazungumzia KWA hiyo sina chochote cha kukujibu.
FANTASTIC ANSWER. AND THIS IS WHAT I AM TALKING ABOUT
Ww pia naona unaendeleza ubishi kila kona watu wanaongelea ushoga jambo ambalo linawafanya waty wapractice for majaribioQatar hawataki usodoma ufanyike katika ardhi yao!
hata hivyo nimekuwa nikifuatilia Kombe la Dunia tangu ufumbuzi kupitia DSTV sijawahi kusikia hata siku moja ikitajwa hilo neno, sasa sijui wewe mwenzangu una angalia TV gani???
Namm nashangaa mkuuuUshoga ulikuwepo tangu enzi hizo za sodoma na gomora, hivyo ni muhali kukuta kuna watu hawafahamu ushoga ni nini.
Lakini haukuwa ukifanyiwa campaigns za kuonekana ni jambo la kawaida na wala haukushamiri kama ilivyo hivi sasa.
Hivyo wanachokifanya Qatar ni kuonyesha msimamo wao kuwa hawalichukulii jambo kuwa ni jambo la kawaida. Japo hilo halikanushi kuwa jamii zingine zinalikubali na kulifanya.
Sasa ukisema kufanya hivyo ni kuutangaza ushoga nashindwa kukuelewa, ukizingatia haya matangazo yanayo fanywa kila kukicha, kuutangaza gani tena.
Yah alfu unakuta mpka hao waarabu ndio wazamini wakubwa wa ligi hyo sas kuna nin sas hv ,waarabu ni wanafiki sanUmeandika takataka , kuhusu ushoga hakuna mtu asiyejua na unajulikana kila mahali hata ligi ya uingereza ndio ligi maarufu duniani wanatangaza sana ushoga mule.