Ushoga ulikuwepo tangu enzi hizo za sodoma na gomora, hivyo ni muhali kukuta kuna watu hawafahamu ushoga ni nini.
Lakini haukuwa ukifanyiwa campaigns za kuonekana ni jambo la kawaida na wala haukushamiri kama ilivyo hivi sasa.
Hivyo wanachokifanya Qatar ni kuonyesha msimamo wao kuwa hawalichukulii jambo kuwa ni jambo la kawaida. Japo hilo halikanushi kuwa jamii zingine zinalikubali na kulifanya.
Sasa ukisema kufanya hivyo ni kuutangaza ushoga nashindwa kukuelewa, ukizingatia haya matangazo yanayo fanywa kila kukicha, kuutangaza gani tena.