Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Jicho la tatu: Kombe la Dunia Qatar litautangaza zaidi ushoga kuliko kuupunguza

Hata kupeleka hayo mashindano Uarabuni.

Mwarabu ameingia kingi.
Amejikuta yeye ndie anayetangaza. Ukiukataa au kuukubali maana yake unautangaza.

Waarabu wameingia kingi
Na akili zao fupi za MAKOBAZI.

MUNGU INUSURU DUNIA TUNAELEKEA PABAYA MNO.
Sodoma na gomora Sababu za kuangamizwa ni Ushoga... Je kuna nani asiyeujua ushoga kama ni tabia mbaya.. nani aliyetangaza sodoma na gomora
 
Ninachokidhania mimi huenda wazungu nao pia suala la ushoga hawakulipanga wala kuliwaza hapo awali, isipokuwa ni kama zali la mentali, hivyo muarabu naye alivyo mweupe kichwani kajaa mulemule na misimamo yake ya kidini bila kutumia akili. Kilichobaki ni kumwachia autangaze mwenyewe.
 
What you resist persist….Law of attraction…

Kama tanzania tunajitahidi kupigana na umaskini but umskini ndo kwanza unatukimbilia…ahahaa

Qatari hawapambani na ushoga bali wanazuia kusifanyike hayo mambo public
Rudia kusoma mada uelewe vizur mkuu!
 
Nguvu wanayo tumia kupambana na ushoga ime fanya habari za ushoga ziwe popular zaidi uarabuni na middle east yote kuliko kipindi chochote kile.

KWA kawaida kwa tamaduni za kiarabu habari za ushoga huwa hazizungumzwi kabisa hadharani ni mwiko mkubwa sana kuzungumza habari kama hizo.

Qatar hawakuwa na ulazima wowote ule wa kuandaa hayo mashindano huku wakijua watalazimika kuzungumza habari za ushoga na mashoga.
Angalia kwa Jicho la pili nalo itazipa Nguvu nchi nyengine ndogo ku resist matakwa ya magharibi.

Kuna watu hapa Duniani wanajiona miungu watu wanachokifanya wao wanataka dunia nzima ikifanye, matakwa ya Africa ama nchi nyengine masikini hayana maana yoyote kwao.

Resistance kama hii itawasaidia wapambanaji wowote duniani popote walipo.
 
This is what I am.talking about. I am.strongly blv kombe la DUNIA mwaka huu limepelekwa Qatar strategically KWA ajili ya kuufanya ushoga uwe popular KWA ku upromote in an indirect way.

Wazungu iko janja janja sana
Kwamba wewe intelligence yako inafanya kazi zaidi kuliko intelligence ya Qatar ambalo ni taifa tajiri lenye mahusiano ya kijajusi na nchi kama Russia na China?
 
Dunia imeharibika sana yaani kwa hizi pisi za maana zilivyo wao hawaoni umuhimu wao wanaanzisha Tege lingine kabisa wakitoka huko wataamia kwingine kabisa hawa wahuni wakati Dunia ishaharibika..
 
Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)
Hawa jamaa waliplan hivi hivi ulivyohisi. Walichoki target ni INDIRECT PUBLICITY. Ni watu hatari sana. Kadili nguvu kubwa inavyotumika kupinga kwenye media na propaganda zao za kupata indirect publicity zinafanikiwa.
 
Hawa jamaa waliplan hivi hivi ulivyohisi. Walichoki target ni INDIRECT PUBLICITY. Ni watu hatari sana. Kadili nguvu kubwa inavyotumika kupinga kwenye media na propaganda zao za kupata indirect publicity zinafanikiwa.
Kabisa mkuu sasa hivi KILA mtu anazungumzia ushoga na sio mpira
 
Kwamba wewe intelligence yako inafanya kazi zaidi kuliko intelligence ya Qatar ambalo ni taifa tajiri lenye mahusiano ya kijajusi na nchi kama Russia na China?
Kwani ajabu?
 
Angalia kwa Jicho la pili nalo itazipa Nguvu nchi nyengine ndogo ku resist matakwa ya magharibi.

Kuna watu hapa Duniani wanajiona miungu watu wanachokifanya wao wanataka dunia nzima ikifanye, matakwa ya Africa ama nchi nyengine masikini hayana maana yoyote kwao.

Resistance kama hii itawasaidia wapambanaji wowote duniani popote walipo.
Kaka unajua tukianzisha kampeni ya kupinga mapenzi ya kaka ma dada kitu GANI kitafuatia?

Kuna watu wataanza kulana kaka na dada. Hiyo kampeni itakuwa ina waambia KWA lugha nyingine kwamba kumbe inawezekana kaka na dada kutamaniana na kufanya mapenzi.


Hicho Wanacho kifanya Qatar ni kutangaza kuhusu uwepo wa ushoga. Kwamba mashoga wapo ?

Kuna vitu vingine kaka ukivizungumzia ndo unavyo vipa nguvu ya kuwepo.

SASA hivi tukianza kampeni against UDINI na UKABILA ndo tutafanya vitu hivyo vienee.

Qatar hawakutakiwa kabisa kuandaa mashindano hayo on the first place
 
Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.

Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.

Sasa hivi ushoga unatajwa mara nyingi zaidi kuliko hata kombe lenyewe.

Nahisi walio peleka kombe Qatar agenda yao kuu ilikuwa ni kuutangaza ushoga in an indirect way (there is no bad publicity)

Walijua waarabu wataingia mkenge na kutumia nguvu kubwa kudeal na ishu ya ushoga jambo ambalo lita upromote ushoga in the process.

Kama watu wa Intelligence wa Qatar hawaku waza hiki ninacho kiwaza mimi basi tayari wamekwisha feli unless otherwise ndani ya serikali ya Qatar wapo mapandikizi wa USA and co ambao WANAJUA kitu GANI wanakifanya.

Nipo nimekaa pale mtakuja kuniambia.

JK akiwa Rais aliwahi kuulizwa swali na mwandishi wa CNN.

Mwandishi: Nini misimamo wako kuhusu haki za mashoga.

J.K: katika jamii ninayo ishi baadhi ya mambo ni taboo/mwiko hata kuyazungumzia KWA hiyo sina chochote cha kukujibu.

FANTASTIC ANSWER. AND THIS IS WHAT I AM TALKING ABOUT
Tabia hzo zinafanyika Sana nchi hzo ila Kwa Siri
 
Qatar hawataki usodoma ufanyike katika ardhi yao!
hata hivyo nimekuwa nikifuatilia Kombe la Dunia tangu ufumbuzi kupitia DSTV sijawahi kusikia hata siku moja ikitajwa hilo neno, sasa sijui wewe mwenzangu una angalia TV gani???
Ww pia naona unaendeleza ubishi kila kona watu wanaongelea ushoga jambo ambalo linawafanya waty wapractice for majaribio
 
Ushoga ulikuwepo tangu enzi hizo za sodoma na gomora, hivyo ni muhali kukuta kuna watu hawafahamu ushoga ni nini.

Lakini haukuwa ukifanyiwa campaigns za kuonekana ni jambo la kawaida na wala haukushamiri kama ilivyo hivi sasa.

Hivyo wanachokifanya Qatar ni kuonyesha msimamo wao kuwa hawalichukulii jambo kuwa ni jambo la kawaida. Japo hilo halikanushi kuwa jamii zingine zinalikubali na kulifanya.

Sasa ukisema kufanya hivyo ni kuutangaza ushoga nashindwa kukuelewa, ukizingatia haya matangazo yanayo fanywa kila kukicha, kuutangaza gani tena.
Namm nashangaa mkuuu
 
Umeandika takataka , kuhusu ushoga hakuna mtu asiyejua na unajulikana kila mahali hata ligi ya uingereza ndio ligi maarufu duniani wanatangaza sana ushoga mule.
Yah alfu unakuta mpka hao waarabu ndio wazamini wakubwa wa ligi hyo sas kuna nin sas hv ,waarabu ni wanafiki san

Wafalme wao ndio wanamiliki vilabu vikubwa na vinavyo sapoti ushoga
 
Back
Top Bottom