Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

Muramwaito

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
420
Reaction score
829
Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas

1: haikusanyi Kodi

2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa)

3: inatumwa na wenye mali

4: inawafanyia kazi wenye mali

5: inafukuzana na vijitu vidogo vidogo mabarabarani..... I think hapa alimaanisha mashinga

6: serikali corrupt inaabudu wenye mali ( alisema hili kwa hisia sana)
 

Attachments

  • Mkasa_Wa_Mgiriki_Na_Mwalimu_Nyerere____Anamfuko_Mpana_Kiasi_Gani._Tujikumbushie_zama_za_nyuma....mp4
    2.4 MB
Ukifuatilia hotuba mbalimbali za Marais wetu tangu tumepata uhuru mpaka wakati huu, hotuba nyingi za Mwalimu zinaishi kwa kuakisi maisha na uhalisia wa hadi hivi sasa.


Walimshauri usiondoke nchi bado changa, ila akaondoka akawaachia nchi wanamtandao
 
Back
Top Bottom