Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tundu Lissu, wewe kwa sasa ndio tishio kubwa sana kwa watu wa chama fulani na mgombea wao mtatajiwa wa uchaguzi mkuu wa mwakani.
Hivyo, nakushauri uwe makini sana katika mienendo yake yote kwani wanaweza kukufanyia jambo lolote baya na wakasingia chama chako ndio kimehusika kwa hoja ya vuguvugu la uchaguzi ndani ya chama chako.
Wanaweza kufanya another assassination attempt kama.ile ya 2017, kukuteka au ukatengenezewa ajali, n.k mradi tu ni katika kipindi hiki ambacho umetangaza kusudio la kugombea uongozi wa juu katika chama chako.
Hata uchaguzi ukiishi na ukashinda, bado lolote linaweza kutokea.
Tujiuliulize: Kama Adulu Nondo wamemuona tishio, itakuwaje kuhusu Lissu?
Siasa ni audui tena uadui mbaya sana.
Ushauri: ongeza ulinzi unaonekana na usioonekana(wa siri) kila unapokwenda.