Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hatujawapigia kura mapen dekezo yao kama tupo USA? Msilazimishe mambo...Mkiniambia kuna ambao wameshanunuliwa na kuligawa taifa, that I can snif na hii ni hatari sana maana tunakoelekea tutavurugwa mpaka tuvurugike, may; God forbid!1. Ulichoandika wala sio ujasusi ni speculations tu vijiweni.
2. WW3 haijaanza na haiko karibu kuanza.
3. Kama taifa tuko aligned na USA toka miaka ya Mwinyi, you have no idea how much of our intelligence comes as a courtesy of US and their allies. Uaujua ushirikiano wetu na USA kwenye counter terrorism?
4. Ziara ya mama USA sio mistake, vile ndivyo ilivyopaswa kuwa.
Nitawapiga na nyuklia X5WW3 inakuja kwa sababu Marekani na Ulaya karibia nchi 30 zinapeleka siraha Ukraine nakupigana na Russia. Na kila siku Russia anatishia kutumia Nuclear.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂Suala la ujasusi kwa watanzania nisuala ambalo utaona watz hawako serious nalo kabisa
Nikimnukuu msemaji mkuu wa serikali; ......hela zilizotumika ktk muvi na gharama za uzinduzi wa movie ya "loyo tua" sio za watanzania.Hili ndio nimelijua kwako mkuu....
Lina ukweli wowote.???
Nitaandika yanayoendelea. Kiukweli unaweza ichukia nchi, kumbe kuna watu tu mamangimeza yapo yapo hayajali kuhusu nchi kabisa.Suala la ujasusi kwa watanzania nisuala ambalo utaona watz hawako serious nalo kabisa
Nitaandika mkuuDuh yani kama wakat wa ku....Halafu anatowa paap ndipo ulipoishia.
Kiukweli sijui wanachokitengeneza, lakini lazima tuijali nchi na tujue thamani yake. Hewala nchi sio familia ndugu zangu.Tusimlaumu Sana MAMA KWENYE HILI!!YEYE hakuandaliwa kuwa Raisi tangu mwanzo!!!???KWA hiyo code za uraisi hazijui na hakujiandaa kuwa RAISI ndio maana KILA ushauri anaopewa YEYE anajichimbia kaburi!we ona wakati akiwa USA kinana anafanya ziara za ki CHAMA unadhan ni co incidence tena nasikia na msoga yupo huko huko USA!Kuna jambo linapikwa tuupe muda UAMUE!!!!
Ile ni kweli kabisa.Na cha ajabu, kumbe ile ya barua ya Urusi kumpongeza Rais kwa sababu ya sherehe za Muungano ni ya kweli. Nimeona kwenye page ya Russia in Tanzania(Ubalozi wa Russia).
Tag ni muhimu hapo usisahauNitaandika yanayoendelea. Kiukweli unaweza ichukia nchi, kumbe kuna watu tu mamangimeza yapo yapo hayajali kuhusu nchi kabisa.
A nation is something else, lakini sisi Tz hewala wala hatujali. My God!
Asante. Pole yetu soteKwamba intelijensia yako ni kubwa kuliko TISS wote, TPDF na kila organ bongo. Unaamini kabisa uko Well informed kuliko waziri wa ulinzi na waziri wa mambo ya nje!
Pole sana
1. Ulichoandika wala sio ujasusi ni speculations tu vijiweni.
2. WW3 haijaanza na haiko karibu kuanza.
3. Kama taifa tuko aligned na USA toka miaka ya Mwinyi, you have no idea how much of our intelligence comes as a courtesy of US and their allies. Uaujua ushirikiano wetu na USA kwenye counter terrorism?
4. Ziara ya mama USA sio mistake, vile ndivyo ilivyopaswa kuwa.
Asante kwa kunisaidia kumuelimisha.Sidhan kama unaijua vyema Intelligence ya TZ. However, ninachoweza kusema ni kuwa it was bad move kwa Rais kufanya hiyo royal tour kwa sasa
Urusi hajawahi kututumia salamu za Muungano huko nyuma.
Utaelewa kwa nini wakati huu ametutumia salamu hizo. Kuna mengi ya kutafakari.