Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mkuu tumia hata box no ya mtu unayemjua ili uwe na uhakika wa bidhaa yako kufika.

Shida ni hapo posta mzigo utafika lakini ni ngumu sana kukupigia simu bidhaa itakuwa hapo na baadaye waitachukuwa.

Cha kufanya kwanza track mzigo wako kana umeshafika posta basi baada ya siku mbili nenda kaulizie posta
 
Vipi Naweza badili address Na huku mzigo umeshatoka origin country!??
 
Yote mkuu ina tracking number
Mkuu kwa IPS (kwa uzoefu wangu), tracking number wanazozitambua ni zile za "Register" i.e. zenye RS/RH/etc., ingawa kuna cases zingine zilikuwa pia.

Afu ishu nyingine ni kwenye suala la kama huo mzigo umefika kwenye mamlaka ya Tanzania Postal Service/hatua ya kuingia Afrika Mashariki ambapo sasa utakuwa chini ya TPS directions. Hii imeshawahi nitokea mara nyingi tena na hizo Register tracking numbers, ukitrack ndani ya wiki 2 baada ya mzigo kutumwa IPS wanakuambia "No info on/of this item", ambapo ukiangalia kwenye tovuti ya courier wanakuambia mzigo bado hujafika E. Africa au uko wapi by mda huo. Ila ukifika tu utaanza uona IPS.
Na je uliagiza yote siku moja? Au kuna uliotangulia mwingine?

Afu wala usihofu, we muulize tu seller alitumia courier gani kukutumia mzigo akupe na website yao utrack mzigo wako/anaweza akakupatia link moja kwa moja kwenye tracking page ya website ya courier ukajua mzigo uko wapi.

Ila ndugu tafuta P. O. Box asee, unafanya risk kubwa sana. Au unatumia DHL nini mkuu?
 
Poa Kiongozi.. Box lilikuwepi but lina mda halijalipiwa, so hofu yangu ulikuwa hiyo..

Mizigo yote ilitoka Sawa... Ngoja niwasiliane Na seller... Lkn pia nilienda kuuliza posta kama Naweza agiza mzigo bila kuwa Na box, wakasema cha msingi niwekw namba ya simu
 
Hongera mkuu. Nenda kakomboe Box sio hela nyingi. Nadhani kwa mikoani haizidi 12,000/:kwa mwaka. Kama 1000/ kwa mwezi sawa na shs 30/: kwa siku.
 
Hongera mkuu. Nenda kakomboe Box sio hela nyingi. Nadhani kwa mikoani haizidi 12,000/:kwa mwaka. Kama 1000/ kwa mwezi sawa na shs 30/: kwa siku.
Box liko dar... Hivi hakuna namna Naweza track Na kulipia popotr nilipo!?
 
Posta huwa hawana shida,mimi sikulipia box kwa miaka 4 nalilikuwa linafanya kazi,mpaka,walipotaka kulifunga ndio nimelipa mwaka huu
 
Posta huwa hawana shida,mimi sikulipia box kwa miaka 4 nalilikuwa linafanya kazi,mpaka,walipotaka kulifunga ndio nimelipa mwaka huu
Ooh.. Shukrani mkuu, maana Nahisi langu halijafikisha hiyo miaka minne
 
Huu mzigo nimepewa track no lakini hauonyeshi mzigo ulipo nimewasiliana na seller amesema nisiwe na wasi wasi itafika.



Huu unaonyesha umefika posta Dar nasubiri ufike posta Bagamoyo.


Huu nimeshaupata



Huu pia umefika posta Bado kuchukuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…