Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Mkuu tumia hata box no ya mtu unayemjua ili uwe na uhakika wa bidhaa yako kufika.Wana board habari.. Baada ya kusoma baadhi ya komenti nimeingiwa na hofu. Kuna mzigo nimeagiza, na umeshatumwa tayari, hofu yangu ni kuwa sina sanduku la posta, na pale nimeandika location ya sehemu niishipo, na namba yangu ya simu. Je mzigo wangu utafikia posta ya eneo ambapo ninaishi au?
na nitajuaje kama hawatanipigia simu?? Msaada tafadhali, ili kama kuna option niweze wasiliana na seller kama kubadili address angani au la!??
Shida ni hapo posta mzigo utafika lakini ni ngumu sana kukupigia simu bidhaa itakuwa hapo na baadaye waitachukuwa.
Cha kufanya kwanza track mzigo wako kana umeshafika posta basi baada ya siku mbili nenda kaulizie posta