Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Emu elezea hiyo moja unayoongeza kwenye 0.25 unaitoa wapi?
ni sawa mzee wa rula,
au ili kuondoa utata wa hiyo ''1'' calculation ziwe hivi..

Assuming the cost of item CIF is $1600 (invoice)

Import Duty 25% of CIF ---> 25/100=0.25, ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,0.25*1600= $400
VAT - 18% of Import Duty + CIF (1600+400=2000) ---> 18/100= 0.18,,,,,0.18*2000= $360
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,$760


ushuru utakaolipa tra kwa kuagiza mzigo wenye thamani ya $1600 ni $760,,,
 
We ndo nimekuelewa na unafaa kufundisha sana Sasa ambacho sijajua hizo bei zitapigwa kwa Bei ya Bidhaaa tu au bei ya bidhaa kuongezea ile ya shipping? Msaada hapo
 
We ndo nimekuelewa na unafaa kufundisha sana Sasa ambacho sijajua hizo bei zitapigwa kwa Bei ya Bidhaaa tu au bei ya bidhaa kuongezea ile ya shipping? Msaada hapo
Invoice inayokuja na parcel ni pamoja na shipping kwahiyo tra watacompute kupitia bei iliyoandikwa kwenye invoice. maranyingi sellers wa ebay wanaandika bei ndogo wanapoenda kutuma mzigo ili wachajiwe shipping price na insurance kidogo. wakifanya hivyo unapata unafuu wa ushuru kwa mizigo iliyo subjected to custom duty kwakuwa mzigo utakuwa na value ndogo.
 
We ndo nimekuelewa na unafaa kufundisha sana Sasa ambacho sijajua hizo bei zitapigwa kwa Bei ya Bidhaaa tu au bei ya bidhaa kuongezea ile ya shipping? Msaada hapo

Maana ya CIF ni Cost + Insurance If any + Freight na ndiyo tax base.

Kuhusu ile moja ambayo hujaielewa ni kuwa ukiweka moja huna haja ya kujumlisha yaani formula yenyewe ni commulative.

Hebu ona e.g. U$1600 * 0.25 = 400 Then 1600 +400 = 2000 ndiyo uje upate tax base ya VAT ambayo rate yake ni 18%

Lakini ukichukua U$ 1600 * 1.25 = 2000 then simple 2000 * 1.18 = 2360 ambapo unakuja kutoa na CIF ili upate tofauti yake ambayo ndiyo kodi. 2360 - 1600 = U$760.

Binafsi niliamini ndiyo njia nyepesi ambayo ingenifupishia maelezo mengi. Lakini kuna jamaa ameelekeza vizuri na umemuelewa basi nashukuru kwa hilo.
 

Mkuu hiyo labda kwa wale ambao siyo top rated seller, lakini most of top rated seller wao wanasema;

1.0 Hawawezi ku - underprice,
2.0 Ku label item as Gift.

Kwa hiyo mara nyingi mizigo inakuja na bei halisi, huo ndiyo uzoefu wangu. e.g adorama
 
Emu elezea hiyo moja unayoongeza kwenye 0.25 unaitoa wapi?

Hii ni kuepusha usumbufu wa kuja kujumulisha baadae tena baada ya kupiga kwa hiyo rate ambayo inaweza kuwa 0.25 au 0.1 au 0.05. Hii ni maalumu kwa sababu majibu ya nyuma baada ya kujumlisha na CIF na kodi linahitajika ili uweze kupiga kodi ya mbele.
 

Nashukuru kwa ufafanuzi.
 
UGOKO MKAVU nakujulisha kuwa tayari nimeshapata zile makitu, nilitumia anuani ya Posta na ilikuwa ni Free Shipping. Sasa ngoja nijipange kwa mambo yajayo zaidi.
 
Last edited by a moderator:

kusema kweli nataman xana kujua process za hatua zote za kufanikisha kununua na kupokea mzigo..xaxa mkuu nakuomba kama unaweza uelezee A - Z watu wengne xx hatuna hata elmu nzuri lakn ni wazi wewe unaonekana unaujuzi na experience na hv v2..kama vp andaa thread mpya kabxa
 
UGOKO MKAVU nakujulisha kuwa tayari nimeshapata zile makitu, nilitumia anuani ya Posta na ilikuwa ni Free Shipping. Sasa ngoja nijipange kwa mambo yajayo zaidi.

Safi sana mkuu, nami ntaagiza kitu cha gharama ndogo nipate uzoef.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu vipi kuhusu hawa alibaba(aliexpress)are they reliable?
 
Kama kuna mtu ameshawahi nunua kwa auction kwenye ebay please anipe uzoefu kuna magari mazuri mazuri sana upande huu wanauza kwa bid nataka nijaribu
 
duh mi natafuta housing ya laptop angu cz czani kama bongo niataipa maana hii mashine inaonekana ya long kinouma xo naweza pata humo ebay mkuu?
 
Run a MILE!!! Chinese scamers are all over that place!!

Alibaba na Aliexpress wote wana ESCROW na escrow ina principle moja
kwanza Unalipa na malipo yanaenda kwao baada ya ku-Confirm kuwa mzigo umeupata ndo hela inapelekwa kwa muuzaji
Nao pia wana Option ya Kufungua kesi iwapo Items not as described

Hivo Mkuu usitutie woga njoo na VIVID EXAMPLES kutetea point yako
 

mkuu nimeona vitu vizuri sana huko na nikawa tempted kufanya my first online purchase..lakini mepata woga..hivi ukiimport tablet ndogo uzito like 1kg unalipia kodi?
 
katika kufungua account ya paypal kuna vitu vinanichanganya kidogo. Kuna.....
1. Adress Line 1
2. Adress Line 2
3. Postal Code
Naombeni kujua hivyo vitu vikoje na tofauti yake iko vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…