Mkuu inawezekan kununua kitu AliExpress afu kikatumwa kwa kutumia silent ocean bila kuwa na mtu huko chinaHela yako iko salama.
AliExpress mambo yao ni ya kisomi na poa sana.
Mimi kuna order nilifanya ikamaliza miezi mitatu haijafika mfumo ukaconfirm automatic kwamba nimepokea na huku sijapokea chochote.
Nilifungua kesi ya madai na AliExpress Team wakaingilia kati na kunirefund.
Nasubiri siku mzigo ukifika niwalipe ingawaje ni hasara kufanya muamala mara mbili.
Ila kumbuka kuwalipa maana hawa jamaa weupe huwa wanatunza kumbukumbu za wateja wao.
Ukijidai mjanja mjanja kuna siku itakula kwako.
Pia uaminifu wakati mwingine ni mtaji.
Sent from my cupboard using mug
Sijawahi kukutana na hiyo huduma kule AliEx... mkuu, labda usubiri wajuzi wengine waje huenda washawahi kufanya hiyo kwingine.Mkuu inawezekan kununua kitu AliExpress afu kikatumwa kwa kutumia silent ocean bila kuwa na mtu huko china
AliExpress unalipia tu alafu wanakutumia wenyewe? Na Kama hauna post address wanakutumiaje?Sijawahi kukutana na hiyo huduma kule AliEx... mkuu, labda usubiri wajuzi wengine waje huenda washawahi kufanya hiyo kwingine.
Sent from my cupboard using mug
Yaa, ukishalipia kuna makampuni yanayosafirisha ambapo utaweza kuchagua kulingana na bei ya kusafirishia mzigo wako na hapo ndipo seller atakapoona kampuni uliyoichagua naye atatuma mzigo wako.AliExpress unalipia tu alafu wanakutumia wenyewe? Na Kama hauna post address wanakutumiaje?
More blessings mkuuYaa, ukishalipia kuna makampuni yanayosafirisha ambapo utaweza kuchagua kulingana na bei ya kusafirishia mzigo wako na hapo ndipo seller atakapoona kampuni uliyoichagua naye atatuma mzigo wako.
Kama huna postal address ingia hapo chini ili ujinunulie box la kidigitali nawe utakuwa unatumia hilo na pindi mzigo wako utakapokuwa umefika watakutumia meseji ama kukupigia simu.
Sent from my cupboard using mug
WAKUUU NINGEPENDA KUFAHAMU HAPO KWENYE EXTEND ORDER KUNA MAANISHAView attachment 1703824
Jibu sahihi ni;WAKUUU NINGEPENDA KUFAHAMU HAPO KWENYE EXTEND ORDER KUNA MAANISHAView attachment 1703824
shukran sana mkuu pia ninaswali jengine naona mzigo wangu mmoja umeandikwa shiped ila sasa ninachotaka kufahamu mizigo yote niliambiwaga inasafirishwa na ndege maneno haya kwa alie nishauri kuagiza ila mimi naona pale wameniekea alama ya nanga simeli hio naeka picha hapa angaliaaJibu sahihi ni;
Ukishaweka order ambayo tayar umeshailipia, huwa kuna muda wa siku kadhaa ambao seller anakuandalia hiyo order yako ili aitume.
Na kama siku hizo zikiisha kabla seller hajatuma mzigo basi order inakuwa cancelled automatically na unarudishiwa hela yako.
Endapo ukibonyeza Extend Order Processing Time, kabla siku za mchakato wa kuuandaa mzigo wako hazijaisha, basi siku za kuuandaa mzigo wako zitaongezwa na ndani ya hizo siku, seller atautuma mzigo wako na hapo itakuja hatua nyingine ya kuusubiria mzigo wako ndani ya muda utakaokuwa umekadiriwa tena ili kufika mzigo wako.
Hii stage ya pili nayo kama muda wake umekaribia sana kuisha wawezamwomba seller akaextend time of delivery au wakati mwingine seller huwa anajiongeza na kuextend time of delivery bila ya wewe kumwambia.
Sent from my cupboard using mug
msaada hapa nifahamushukran sana mkuu pia ninaswali jengine naona mzigo wangu mmoja umeandikwa shiped ila sasa ninachotaka kufahamu mizigo yote niliambiwaga inasafirishwa na ndege maneno haya kwa alie nishauri kuagiza ila mimi naona pale wameniekea alama ya nanga simeli hio naeka picha hapa angaliaa View attachment 1704800
Hiyo isikupe shida mkuu ndani ya mwezi mzigo wako utakuwa umeshafika huku Tz.shukran sana mkuu pia ninaswali jengine naona mzigo wangu mmoja umeandikwa shiped ila sasa ninachotaka kufahamu mizigo yote niliambiwaga inasafirishwa na ndege maneno haya kwa alie nishauri kuagiza ila mimi naona pale wameniekea alama ya nanga simeli hio naeka picha hapa angaliaa View attachment 1704800
VIPI KUHUSU MZIGO AMBAO BAADA YA KUKAA SHIPPED TU NIMEINGIA NIMEKUTA KWENYE TRACKING NIMEAMBIWA HIVO ILA NI MUDA MCHACHE TU ILIKUA TO BE SHIPPED IMEKAA KWENYE SHIPPED NDO NIMEENDA ANGALIA KWA TRACKING NIMEKUTANA NA UJUMBE HUOOHiyo isikupe shida mkuu ndani ya mwezi mzigo wako utakuwa umeshafika huku Tz.
Sent from my cupboard using mug
Shipping address uliandika vzr?VIPI KUHUSU MZIGO AMBAO BAADA YA KUKAA SHIPPED TU NIMEINGIA NIMEKUTA KWENYE TRACKING NIMEAMBIWA HIVO ILA NI MUDA MCHACHE TU ILIKUA TO BE SHIPPED IMEKAA KWENYE SHIPPED NDO NIMEENDA ANGALIA KWA TRACKING NIMEKUTANA NA UJUMBE HUOOView attachment 1707113
Endelea na moyo huo huo. Mm hua nachukua refund na nina kauka tu km sijapokea mzigo. Imagine mzigo umefika baada ya miezi sita huo sio ulofa na kurudishana nyuma. Mzigo uko njiani kwa nusu mwaka??? Lzm walipe muda wangu wa kusubiri na malipo ni kulamba refund na kuchil tuKwa kweli mimi nilishazoea, kwanza huwa nakosa amani moyoni endapo nikinyamaza na huku nimepokea mzigo. Hata juzi juzi na jana pia nilirudisha hela walizokuwa wamerefund.
Sent from my cupboard using mugView attachment 1681408View attachment 1681409
[emoji851][emoji857]Endelea na moyo huo huo. Mm hua nachukua refund na nina kauka tu km sijapokea mzigo. Imagine mzigo umefika baada ya miezi sita huo sio ulofa na kurudishana nyuma. Mzigo uko njiani kwa nusu mwaka??? Lzm walipe muda wangu wa kusubiri na malipo ni kulamba refund na kuchil tu
Huko mpaka ukaze roho aisee; nenda ukanunue huko kama huku bongo hakipo ila kama kipo ni afadhali ununue huku. Ingawaje wakati mwingine waweza kuta bei ya kule iko poa na pia wakati mwingine bei ya huku yaweza kuwa poa kuzidi kule.Je mnaonunua vitu (hasa simu) Online mnanfaikaje na bei ? Ishu za shipping charge, kodi etc.
Kuna nikiingia AliExpress natoka bilabila.