Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

wakuu mimi nilijaribu kuunga master card yangu ya nbc na paypal ikakubali bila hata kujaza hizo form za benki na wala sikwenda benki kuverify master card yangu.ila nimeshanunua item toka ebay kwa hii hii master card yangu sasa ipo njiani kuja nchini. sa naomba mnijuze je nbc hawataifunga card yangu kweli pili imewezekanaje kununua item wakati siku verify card yangu kwny paypal akaunti

Huna haja ya kuverify Mastercard enjoy your shopping mkuu. unaweza kununua bila ku verify especially kwenye mastercard na hawawezi kuifunga hiyo card
 
Kaka Papizo hana niliposema veryfying Paypal account is a must ina nimesema ni innevitable(haizuiliki) naona wewe unajisifia lkn one day inaweza kukutokea puani tu iwapo seller atakataa hela kutoka kwa unverified account maana nyingi udhaniwa ni za wizi

Mkuu me nimetumia paypal for more than 8 years now na ebay for more than 7 years sijawahi kudhulimiwa hata siku moja, sijisifii sema naongea kutokana na experience yangu kama nipo wrong nirekebishe. nime link ebay account kwa debit 3 na mastercard moja ila hizo debit zote nime verify ila mastercard sija verify. As long paypal wameaccept card yako na umemlipa through pay kamwe huwezi kuibiwa.

Umewahi kutumia paypal mara ngapi mkuu if you dont mind me asking?
 
Daaaah nimejifunza kitu na mid na nimesha download app ya eBay na nimetembelea nimeona city vying sana kilicho nishinda kila bidhaa nikiiona pale naambiwa not shipping to Tanzania apo nashindwa kuelewa .....na nipo njian ku activate my CRDB acount

Sio Tanzania peke yake bali Africa kwa ujumla hawafanyi shipping ni wachache sanaa wanotuma.
 
Mkuu me nimetumia paypal for more than 8 years now na ebay for more than 7 years sijawahi kudhulimiwa hata siku moja, sijisifii sema naongea kutokana na experience yangu kama nipo wrong nirekebishe. nime link ebay account kwa debit 3 na mastercard moja ila hizo debit zote nime verify ila mastercard sija verify. As long paypal wameaccept card yako na umemlipa through pay kamwe huwezi kuibiwa.

Umewahi kutumia paypal mara ngapi mkuu if you dont mind me asking?

Nimetumia PayPal accountable time within 2yrs sababu mm nafanya biashara ya kununua vitu online

Sijasema utaibiwa hela...bali nilimaanisha unaweza tuma hela e.g 750$ unanunua laptop na assume huyo seller ndo ana best price afu seller akakataa hela yako na kui-refund na usumbufu uliopo hapa bongo kuhusu refund I assure you utapoteza muda wako kufatiilia hiyo refund wakati ungefanya shughuli nyingine...hayo yote ya nn? kwa nn usi verify acc?

mm naongea haya sababu m ni muhanga wa kutumia Unverified paypal kwa mda mrefu lkn siku kuna mtu alitaka anili-refund hela hali najua mmm MC ya CRDB haijawai onesha Refund kwenye bank statement...

Inshort hapa situngi story nina experience kubwa sana tena na watu wasio wa eBay ambao wewe una experience nao sana ila mm nimetuma hela mpaka Paypal za Nigeria za ku-forge hivo nina plenty of experience
 
Sawa sawa mkuu labda niseme kila nchi nadhani zina sheria zake kuhusu bank nadhani na inategemea, pia vile vile me kutumia paypal huwa nikitaka kununua vitu huwa naangalia hasa seller ambao wapo UK maana china kuna high risk ya kudhulumiwa, ni kweli kwabongo upande wa refund nasikia wanasumbua sana huko ila naona nchi zinatofautiana ndugu yangu. me upande wa kusumbuliwa sijawahi kwa kweli, kama haijawahi kuonyesha refund basi akirefund tu labda usubirie 4 days then ukicheck account unaweza kuiona hela yako.

Wala usijali mkuu nadhani tunajaribu kueleweshana maana wote tunahitaji kujuwa experience tofauti tofauti. na ilikuwaje mpaka ukatuma kwa wanageria always huwa nacheck https:// before sijafanya anything hasa ikifikia kwenye maswala ya hela.
 
hahaha!Kuna vijana nilikua nafanya nao biashara nilikua nawaaini kwa asilimia fulani japo kuna mmoja ndo alikibiza vi hela vyangu akabadilisha mpaka jina la skype kisa eti 7$...Yaani nilimshangaa sana
Hivo sio kwamba walinifanyia PHISHING ila nimefanya nao kazi tena kabla hawajapata Paypal ulipokua ukitaka kuwatuia uko hela walikua wanafurahi sana maana nchini kwao kuna watu wanauza PayPal fund...ila paypal zao karibu wote either ni unverified au za kutumia VIRTUAL CREDIT CARD
 
Mkuu umewahi kuitumia mara ngapi Alibaba??

mara nyingi sana mkuu, inaweza kufika hata mara ishirini, sijawahi kupoteza hata senti moja zaidi ya mara chache kupata kitu ambacho sijardhika nacho kiubora (wakati mwingine picha zinadanganya). aliexpress, alibaba kote huko nanunua.
 
Mkuu me nimetumia paypal for more than 8 years now na ebay for more than 7 years sijawahi kudhulimiwa hata siku moja, sijisifii sema naongea kutokana na experience yangu kama nipo wrong nirekebishe. nime link ebay account kwa debit 3 na mastercard moja ila hizo debit zote nime verify ila mastercard sija verify. As long paypal wameaccept card yako na umemlipa through pay kamwe huwezi kuibiwa.

Umewahi kutumia paypal mara ngapi mkuu if you dont mind me asking?

kumbe wewe uko nje ndiyo maana, kiufupi paypal Tanzania ni maumivu, hazipokei pesa, ukiudishiwa pesa yako haisomi kwenye akaunti ya benki mpaka uchape lapa kufuatilia, ni upotevu wa muda tu na unaweza usiipate kabisa hiyo pesa! kama ni mjasiriamali na unafanya biashara inayohusu kupokea malipo kwa paypal ndiyo kabisaa, mpaka tunalazimika kufungua akaunti nchi nyingine!
 
Darnmak mastercard za nbc si lazima ujaze form, wameziwezesha moja kwa moja siyo kama za crdb, hapo nbc nimewasifu wako hatua moja mbele, hayo ndiyo matumizi halali ya mastercard siyo uanze kujaza mijifomu tena!
 
Last edited by a moderator:

Hapa kumbe mpango mzima ni kufungua akaunti NBC kama hakuna mambo ya kuverify,,unaeza kunipa taarifa huko nbc wanafungua akaunti kwa kiwango gani nikute najiandaa kabisa?
 
savings sikumbuki wanafungua kwa shilingi ngapi sasa hivi, nadhani haizidi elfu 20, yangu nilifungua zamani sana!
 
Darnmak mastercard za nbc si lazima ujaze form, wameziwezesha moja kwa moja siyo kama za crdb, hapo nbc nimewasifu wako hatua moja mbele, hayo ndiyo matumizi halali ya mastercard siyo uanze kujaza mijifomu tena!
Sawasawa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Eee bwana mizigo kutoka China ni majanga kabisa yaani inachukua mwezi kabisa na week kadhaa yaani mpaka unatamani uombe refund kabisa
Na vifaa vingi ni Low quality kabisa...nimenunua USB charger za 2M nimetumia siku mbili ikaacha kufanya kazi sasa imagine hizo USB cable nimezisubiri mwezi na nusu afu bado zimezingua yaani wana suck sana wachina

Nina mizigo miwili iko pending mwezi unachapa soon....wakati ROYAL MAIL ZA UK ndani ya week mbili mzigo upo mikononi tayari
 
Inategemea Mkuu, mie nilinunua vitu toka uchina na vikafika haraka kuliko nilivyo tangulia kununua toka Australia, vilichukua chini ya week 3, pia huwezi ringanisha STANDARD INTERNATIONAL SHIPPING na ROYAL MAIL SHIPPING
 
Darnmak mastercard za nbc si lazima ujaze form, wameziwezesha moja kwa moja siyo kama za crdb, hapo nbc nimewasifu wako hatua moja mbele, hayo ndiyo matumizi halali ya mastercard siyo uanze kujaza mijifomu tena!

nbc wanachemsha hiyo kitu ni hatari.
 
Inategemea Mkuu, mie nilinunua vitu toka uchina na vikafika haraka kuliko nilivyo tangulia kununua toka Australia, vilichukua chini ya week 3, pia huwezi ringanisha STANDARD INTERNATIONAL SHIPPING na ROYAL MAIL SHIPPING

Mm nimesubiri nachoka sio kawaida kabisa wachina wameni disappoint yani vitu navisubiri kwa hamu na posta hawanipigii hata simu...Mm nilichagua Seller wa China nikijua nchi yao ipo karibu na Africa hivo regardless njia itakayotumika mizigo itawai
 
Wakuu nimejaribu kutaka kufanya manunuzi kupitia mtandao huu(ebay) kutaka kununua bidhaa za marekani na canada. Lakini nimekuwa nikikutana ujumbe huu mara tu ninapochagua bidhaa" item doesn't to be shiped to Dodoma,Tanzania".

1.Naomba kwa wazoefu mlitumia njia gani mpaka mkafanikiwa kununua bidhaa hizo za usa na canada mpaka mkafanikiwa?

2. Au kuna namna nakosea?

Nawasilisha!
 
Bidhaa nilizojaribu kununua ni hizi;-
 
Attachments

  • 1408361441529.jpg
    1408361441529.jpg
    51.4 KB · Views: 296
  • 1408361475870.jpg
    1408361475870.jpg
    22.4 KB · Views: 275
  • 1408361491222.jpg
    1408361491222.jpg
    44 KB · Views: 270
Back
Top Bottom