Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simu yangu ya htc ilipasuka kioo, nikatafuta weee, mwisho kuna mtu humu jukwaani akanitajia fundi yupo posta anaitwa sele. nikaenda kufika kaniambua kioo kipo ila bei laki, haipungui wala nini, nikaona pagumu.
Mwezi uliopita nikaamua nijaribu ebay nikakuta vioo kibao nikachagua model yangu, nikalipia kwa paypal, kama elfu 36 tu na free shipping.
Baada ya wiki 3 nimekipata kioo.
Kwa wale wanaohofia kuibiwa au kutapeliwa, mie nimepata bidhaa niliyonunua, nanyi msisite kununua.
Nimeipenda hii simu, kinachonitia hofu hiyo (unlocked) ana maanisha nini?
simu yenyewe ni hii hapa;-
Wadau UncleUber Njunwa Wamavoko naomba nifahamu namna ya kuchagua mzigo wako utumwaje kwako, ikiwa seller anasema shipping ni Standard Int'l Shipping???
Msaada tafadhari.
Hapo iko hiyo option tu au ipo na ile ya economic na/au expedited shipping?.
Huwa automatic wao watatumia intl.standard shipping. Just in case wewe unataka ile expedited shipping (ambayo mara nyingi huwa ghali ila bidhaa iko guaranteed kukufikia haraka) just contact the seller na u'request aina ya shipping unataka akutumie bidhaa yako!.
Just click hapo kwa "seller" then itakapofungua next interface utaclick on "ask seller question" then utampa request au swali lako
Ninataka kununua laptop ebay, inaweza kunifikia kweli kwa hapa tz? Vipi kuhusu mambo ya kodi kwa hawa tra?
Wakuu natak msaad zaid wa hii ecomerce 0656694015 /ismailifaraj5@gmail.com
Anayefahamu process za hela kuingizwa kwenye acc maana paypal wamenirudishia pesa yangu kutoka kwa MTU niliyekuwa nnamdai lakini haijaingia kwenye acc yangu ya NBC mpaka Leo huu ni mwezi wa tatu
Duh, mkuu labda uende na kithibitisho (PayPal description ya hela iliokuwa refunded) NBC af uwaulize ukiwaonesha kabisa kuwa pesa zimerudi.