Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Vipi? Mlio wai fanya manunuzi aliexpress je? Aliexpress standard shipping wakoje? Na ni siku ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliexpress vitu vyao vinavutia, lkn wanachelewa sna kudeliver mzigo. Kwa mfano mm nimeagiza smart watch tangu January hadi leo bado sijapokea mzigo. Nikiwasiliana nao wanasema nisubirie hadi 3april.Vipi? Mlio wai fanya manunuzi aliexpress je? Aliexpress standard shipping wakoje? Na ni siku ngapi?
Wanakupa track namba?Aliexpress vitu vyao vinavutia, lkn wanachelewa sna kudeliver mzigo. Kwa mfano mm nimeagiza smart watch tangu January hadi leo bado sijapokea mzigo. Nikiwasiliana nao wanasema nisubirie hadi 3april.
Ila ebay wako fasta sna, ndani ya wk 3 hadi 4 unakuwa ushapokea parcel yako
Maelezo ni mazuri sana tena yanaeleweka vizuri ! Tatizo ni navipateje hivyo vitu kutoka nilipo MF mm nipo Dodoma? Na je kama mzigo ukipotea namuulizia nani ? Na nasaidiwa vipi?
Kodi mzee ni lazima wakulime na pia ni jinsi gani unaweza kuongea na huyo muwakilishi wa customs elezea vizuri wana tabia ya kusema bei zao wao wenyewe mf, anaweza akakuambia huu mzigo hapa dar unagharimu kadhaa wakat wewe umenunu =a kwa bei ndogo zaidi kwahiyo hapo ndipo unatakiwa uwakazie kwamba mzigo wenyewe ni second hand na kadharika ili wakikukadiria wasikupige palefuEe bwana hii link uliyotoa imeeleza vizuri sana ila kodi habari haijatajwa na hapo ndipo kwenye ukakasi.
Kwenye shipping cost ya vitu vya thamani kubwa (hata kama ni kwa muonekano wa nje tu) kama Pete, cheni, bracelets zilizotengenezwa kwa madini/vyuma vya thamani, vitu vya electronic e.g. Smartphones, camera lenses, etc, pamoja na "designer" items... Bei lazima iwe juu.Wakuu napata changamoto ya Gharama kubwa za usafirishaji, imagine pete ya dollar 10 natakiwa kulipa Karibu 40, je wenzangu mnafanyaje juu ya hili? ?
Nakushukuru sana sana Ndugu yangu kwa majibu mazuri yenye wadhifa, naomba kuuliza kitu kimoja zaidi so wewe binafsi unashauri njia Ipi katika hili?Kwenye shipping cost ya vitu vya thamani kubwa (hata kama ni kwa muonekano wa nje tu) kama Pete, cheni, bracelets zilizotengenezwa kwa madini/vyuma vya thamani, vitu vya electronic e.g. Smartphones, camera lenses, etc, pamoja na "designer" items... Bei lazima iwe juu.
Hapa logic kubwa ni ku'hakikisha usalama wa bidhaa yako kupitia sufficient packaging na courier mwaminifu mwenye track record ya kufikisha vitu vya thamani (venye muonekano wa thamani) salama kwa mteja.
Mfano mwingine hai kabisa, embu jaribu kununua "used", second-hand items kama smartphone, utakuta bei ya bidhaa husika iko reasonably low, njoo angalia shipping cost, unaweza kuta hata upwards ya $45. Unaweza usione uwiano, lakini kumbuka courier anaetumika hapo ni veteran expediters kama kina USPS, UPS, ComGateway, etc ambao mbali na kufikisha bidhaa zikiwa salama, mara nyingi pia wanawaisha sana tofauti na couriers wengine.
Ila buyer experience mara nyingi zinatofautiana, kwangu naweza kuelewa na kueleza kama hivyo, lakini kwa mwingine ikawa kesi ingine tofauti.
Yangu ni hayo tu.
Karibu, mkuu!.Nakushukuru sana sana Ndugu yangu kwa majibu mazuri yenye wadhifa, naomba kuuliza kitu kimoja zaidi so wewe binafsi unashauri njia Ipi katika hili?
Ahsante sana mkuu, kwa kweli nimekuelewa vizuri na watu wa aina yako humu ni hazina kubwa, ubarikiwe sana.Karibu, mkuu!.
Kwanza angalia kama una option ya kuchagua kati ya Free Shipping, Economic Shipping, na Expedited Shipping.
Kuna wauzaji kutokana na aina ya bidhaa na urahisi wa kuisafirisha, basi wao hawaku'charge shipping cost, na labda kama utataka uwahi basi unaweza ukawasiliana na muuzaji kabla hujanunua hiyo bidhaa ili kujua kama anaweza ku'facilitate a fast shipping method na kama ataweza akuambie ita'cost kiasi gani. Sasa turudi kwenye ushauri...
Kama bidhaa/item unayoagiza ni ya thamani kubwa/unaiihitaji mapema/ni zawadi (na itakuwa ina deadline), basi tumia/chagua either Economic Shipping option au Expedited Shipping option (na huwa zinatofautiana bei. Hizi zote mbili zitawaisha bidhaa yako (tofauti na Free shipping) ingawa Expedited itaiwaisha zaidi (na mara nyingi huwa ndo ghali kuliko zote). Na faida nyingine ya kutumia hizi "Paid" Shipping ni kwamba una uhakika wa kupata Tracking Number.
Ila kama bidhaa unaona UNAWEZA SUBIRIA /BIDHAA INATOKEA NCHI ZA KARIBU mfano kutoka NCHI zilizopo katika 3 Time Zones toka kwetu kiasi kwamba hamna umbali mkubwa/haijakugharimu pesa nyingi (maana sometimes tunaona ahueni kwa kiwango cha chini)/thamani yake ni ndogo, basi unaweza tu ukaokoa pesa yako na kutumia Free Shipping. Na kutokana na kutokulipia gharama za usafirishaji, "mara nyingi" Free Shipping hazina tracking numbers (reliable tracking number).
Cha msingi usikae kimya pale unapoona mzigo una siku 30 na bado hujaupokea. Mwandikie Seller ujumbe kuwa mzigo haujafika. Na kutokana kuwa wauzaji wengi eBay wanapenda kulinda reputation zao nzuri, (mara zote nlizowasiliana nao) huwa wanakujibu na kukuomba usubirie siku zingine 15 (maana kufika kwa bidhaa ni ndani ya siku 7 - 45 top). Ukiona zimepita una haki ya kumrudia muuzaji na kumpa "ultimatum" yaani option zako za mwisho, hapa unaweza demand a full refund ya pesa zako au akutumie upya mzigo wako. Na zaidi ya hapo, eBay wana "Money Back Guarantee" na ukiongeza na PayPal's Buyer's Right to File for a Complain, basi uko katika nafasi ya kuwa na uhakika utapata bidhaa yako. Kitu sellers hawapendi ni mnunuzi kutokuwasiliana nao kwanza kabla mnunuzi hajawaachia Negative review na ndio maana wako very cooperative.
Nimeandika sana, ila natumaini utapata mawili matatu hapo. Asante.
Option nzuri na ushuru mzuri. Ila kwenye hilo suala la kupigiwa simu, asee labda iwe ni kutoka kwa agent wa hao couriers mfano Ups, lakini kwa hawa poster wetu, ndugu angu sijawahi pokea simu yao rasmi kabisa. Labda from yule mdada ambaye nawasilianaga nae, na hapo ni kwa sababu ya urafiki/mazoea.Kluger! Kwenye shipping option chagua Economic au Expedited shipping, hapo utapata tracking number na mzigo ukifika utapigiwa simu.
Je ilishatokea hivyo hapo kabla? Au ndo mara ya kwanza unafanya payment kwa hao GoDaddy?/mara ya kwanza kwa payment kusumbua?View attachment 491500
Msaada, najaribu kulipia domain godaddy napewa hyo message iliyo highlighted kwa red, tatzo ni nini ikiwa kadi yangu nimeiruhusu kufanya online purchase?
Kweli mkuu.Je ilishatokea hivyo hapo kabla? Au ndo mara ya kwanza unafanya payment kwa hao GoDaddy?/mara ya kwanza kwa payment kusumbua?
Jeh, hao GoDaddy wanaruhusu "straight payments" toka kwenye credit card (ingawa hapa ningekushauri sana uwe unatumia PayPal account)? Au ni njia gani wanazotumia kwa malipo? Kama wana option ya kulipia na PayPal (ambayo ndio "standard" form of payment kwenye masoko mengi ya online), emb jaribu kuitumia uone kama itasumbua.
Unaweza ukawa ume'activate card yako ifanye MOTO/mihamala ya mtandaoni, lakini bank yako haijatambuliwa, ishu ambayo inatatulika kirahisi sana kama uta'link credit card yako na account ya PayPal.
Pia kumbuka PayPal ina'guarantee sana usalama wa transactions zako online.
Yangu ni hayo tu ndugu angu.
Inategemea na mzigo mimi nilipokea power bank hawakunichaji chochote nilipokea pacel yangu nikaondoka.Kodi mzee ni lazima wakulime na pia ni jinsi gani unaweza kuongea na huyo muwakilishi wa customs elezea vizuri wana tabia ya kusema bei zao wao wenyewe mf, anaweza akakuambia huu mzigo hapa dar unagharimu kadhaa wakat wewe umenunu =a kwa bei ndogo zaidi kwahiyo hapo ndipo unatakiwa uwakazie kwamba mzigo wenyewe ni second hand na kadharika ili wakikukadiria wasikupige palefu