Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

Mimi mwenyewe hapa nshachizi maana nahitaji bidhaa ila nimeshindwa kuagiza kwa kuhofia Coronavirus. Usijeshangaa mzigo ukafika baada ya miaka 3

Kuhusu soko gani linatoa bidhaa kwa sasa labda Dubai ila online market yake sijui ni ipi maana sijatafiti kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mengi hayaleti bongo.
Yana supply huko huko tuu
 
Baada ya seller kushindwa kutuma mzigo wangu kutokana na Corona ikabidi refundi ifanyike cha kushangaza pesa haijaingia kwenye a/c ya Equity Bank na refund imekuwa completed

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mimi nimeagiza k
Vifurushi taree 11 na taree 19 mwez huu vyote vipp njiani.
Sasa nauliza kuna uwezekano wa kuja na corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapigia dawa bhana. Ila mimi bado nasita kuagiza, maana waweza agiza halafu wakatuma kakini ikawa ishu kuingia huku kwetu. Labda wajuzi watwambie kama mzigo utakuja ila hilo la kuja na Corona ni ishu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itaingia tu. Mara nyingi inachukua siku tatu Hadi 21 kwa pesa kuingia tangu refund iwe imekamilika.
Kuwa mpole.
Baada ya seller kushindwa kutuma mzigo wangu kutokana na Corona ikabidi refundi ifanyike cha kushangaza pesa haijaingia kwenye a/c ya Equity Bank na refund imekuwa completed

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nime agiza mzigo kupitia eBay sasa nilikua baomba kuuliza mzigo unachukia siku ngapi hadi unifikie napia kwa mwanza ofisi zao zipo maeneo gan
Utauchukulia posta huko uliko. eBay kwa Mwanza hawana ofisi. Usafiri inategemea mara nyingi nje hasa Ulaya kuja kwetu haichukui muda. Tatizo mzigo ukifika posta kuu Dsm mpaka ufike unakokwenda wanachelewesha kidogo. Kama umeandika vizuri anwani yako utaupata mzigo wako. Angalia seller amekuandikia itachukua muda gani kufika huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. nenda ebay.com kisha register chagua customer au kama wewe ni muuzaji chagua akaunti ya merchant.

2. kujiunga inabidi kadi yako ya benki (visa/mastercard) iwe imesajiliwa kwanza kununua mtandaoni, kisha nenda paypal.com weka details zako na za kadi yako kisha watakutumia verification code (yangu nilichukua crdb) hapo kadi yako itakuwa verified tayari na paypal.

3. nenda sehemu yoyote. wanayokubali paypal nunua chochote, ingiza. detail za paypal, watakata gharama za icho kitu basi umemaliza

very easy
Wadau hali zenu vip nahitaji touch pamoja na display ya galax s6 edge mwenye kujua bei na wap naweza ata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sasa kali jamani toka mwaka jana mwezi wa nane duh hatari.View attachment 1328951

Sent using Jamii Forums mobile app

Muzee nimejaribu kuTrack hii parcel yako, yaani imechukua miezi 6 kuipata. Ningeomba kujua ulikuwa ni mzigo mkubwa kiasi gani? Na je ulifungua dispute wakakulipa au ilikuwaje?

1586248012987.png
 
View attachment 1411255
Ulikuwa mzigo wa kawaida tu na nilipofungua dispute hela ilirudishwa ila baada ya kupokea mzigo niliwasiliana na seller ili nimlipe ila hakutaka nimlipe na hiki ndicho alichosema hapa chini.
IMG_20200407_213456.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa mzigo wa kawaida tu na nilipofungua dispute hela ilirudishwa ila baada ya kupokea mzigo niliwasiliana na seller ili nimlipe ila hakutaka nimlipe na hiki ndicho alichosema hapa chini.View attachment 1411991

Sent using Jamii Forums mobile app

kweli sometimes ukiagiza mzigo kutoka nje unatakiwa kusahau kwa muda. Hapa niliagiza mzigo tokea mwaka jana mwezi wa 12, hadi leo hujafika na nilishafungua dispute na kulipwa pengine utakuja nikishasahau ndio nimtafute seller.
 
Wakati mwingine posta makao makuu wanachanganya mizigo. Mzigo ambao unatakiwa uende kibiti posta unaenda singida.
Mfano halisi : niliagiza mzigo tangu mwezi wa 10 mwaka Jana na ulifika posta kuu mwezi wa kumi na mbili{shipping way haikuwa express). Mzigo ulipaswa kufika Chalinze.
Nilisubiri Sana mzigo haukufika na nikitrack naambiwa anuani imekosewa ingawa mzigo upo nchini.
Sasa mwezi wa pili mwaka huu posta kawe walinipigia Kama Kuna mzigo upo kwao na ulitumwa kimakosa. Nikawaambia ok fine,tumeni huo mzigo uje Chalinze.
Mpaka muda huu mzigo bado hawajatuma na Kila nikiwatafuta wananiambia watatuma.

Kwa hiyo posta kuu wakati mwingine wanamisplace mizigo.

Sent using LEAGOO M12
 
Kweli posta za bongo mizenguo yaani mzigo unaweza ukawa umefika mapema tu nchini lkn kusambaza tu itachukua hata mwezi ata kama upo kibaha[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine posta makao makuu wanachanganya mizigo. Mzigo ambao unatakiwa uende kibiti posta unaenda singida.
Mfano halisi : niliagiza mzigo tangu mwezi wa 10 mwaka Jana na ulifika posta kuu mwezi wa kumi na mbili{shipping way haikuwa express). Mzigo ulipaswa kufika Chalinze.
Nilisubiri Sana mzigo haukufika na nikitrack naambiwa anuani imekosewa ingawa mzigo upo nchini.
Sasa mwezi wa pili mwaka huu posta kawe walinipigia Kama Kuna mzigo upo kwao na ulitumwa kimakosa. Nikawaambia ok fine,tumeni huo mzigo uje Chalinze.
Mpaka muda huu mzigo bado hawajatuma na Kila nikiwatafuta wananiambia watatuma.

Kwa hiyo posta kuu wakati mwingine wanamisplace mizigo.

Sent using LEAGOO M12

Bora hata huo wameona kwamba upo nchini, Tracking ya Posta ni dhaifu sana, utashangaa wanatrack kwa kutumia GLOBAL UPU website ambayo haitoi taarifa zinazojitosheleza. Na kutokana na mfumo huo ni ngumu kujua kama mzigo umeingia Tanzania au bado upo nje.
 
Hyo ndo posta bhana mizinguo sana Hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom