MC44
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 2,169
- 3,297
Naona mengi hayaleti bongo.Mimi mwenyewe hapa nshachizi maana nahitaji bidhaa ila nimeshindwa kuagiza kwa kuhofia Coronavirus. Usijeshangaa mzigo ukafika baada ya miaka 3
Kuhusu soko gani linatoa bidhaa kwa sasa labda Dubai ila online market yake sijui ni ipi maana sijatafiti kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yana supply huko huko tuu