Nashukuru sana mkuu.Piga dawa ya ukungu yenye kiuatilifu cha kukinga na kutibu kama yenye ivory 72,ebony72,ridomil gild,linkomil,milraz,othelo top,score,ortiva etc
Mojawapo kati ya hizoNashukuru sana mkuu.
Kwa hio nitumie moja kati ya dawa hizo au ni zote natakiwa kutumia, kila lari.
kwahiyo nikiweka can kwa kesho itakua sawa? na saiv kuna mvua mvua zinanyesha na hyo kesho itakua siku ya 10 toka zipandikizweIliyokufa ing'oe panda upya, kama shamba lina kichanga kingi chimba shimo lefu kwenda chini
Unjano ni ukosefu wa mbolea, weka mbolea na mwagia maji mengi
kwahiyo nikiweka can kwa kesho itakua sawa? na saiv kuna mvua mvua zinanyesha na hyo kesho itakua siku ya 10 toka zipandikizwe
hv hii inapatikana maduka gan mana kkoo nliiulzia naona hawana,,na inauzw sh ngapi?Weka yara winner
Dooh!! kumbe samadi nliyoweka ni sawa na bure kbs,,any way thanx nxt time nitapandia DAP,,Mbolea ya ng'ombe ina madini kidogo sana yaani tani moja ya samadi ni sawa na mfuko wa kg 50 wa urea kwa kuangalia nitrate level ingawa hili pia hutegemea mfugo umelishwa nini.
Ukitaka ulime kwa kutumia samadi basi sqm 1 uweke ndoo moja kubwa means ekari moja ambayo ni sqm 4000 basi uweke ndoo elf 4 hapo utasema una samadi.
Huo unjano ni lack ya nitrate hivyo weka mbolea weka can au yara mila winner
hv hii inapatikana maduka gan mana kkoo nliiulzia naona hawana,,na inauzw sh ngapi?
So booster ntapiga kipind gani mana nakumbuka ulisema booster zinapgwa baada ya mmea kutoa mauaMimi niko Arusha bahati mbaya sifahamu maduka ya huko,kama hakuna winner chukua npk yeyote ila uchukue na booster ikupe micro elements ukipata wuxal ya bayer ni nzuri zaidi
So booster ntapiga kipind gani mana nakumbuka ulisema booster zinapgwa baada ya mmea kutoa maua
Ukitafuta madawa hivyo utachoka,hv hii inapatikana maduka gan mana kkoo nliiulzia naona hawana,,na inauzw sh ngapi?
Poah poa mwamba.Ukitafuta madawa hivyo utachoka,
Kuna madawa yanafanana kila kitu kwahiyo tofauti inakuwa majina tu mfano hapo umetajiwa aina tofauti ya dawa za ukungu nunua moja wapo
Hata mbolea ukikosa yara winner, nunua npk
Aisee kweli kilimo ni sayansi haswaa,,af ile agriculture nlosomaga o level hakukuwa na hzi mambo aseeNo sijasema hivyo, booster inapigwa pale panapokua na uhitaji sasa hapo tunaitaj mmea upate micro elements haswa boron ambayo inasaidia mmea kufyonza mbolea,ukitumia yara mila winner hizo micro elements ziko ndio maana ina nutrients nane badala ya tatu kama npk zingine. Wuxal ni booster yenye madini kwa kiwango kikubwa na huwa haitakiwi kupigwa mmea ukishatoa maua (wuxal pekee sio kila booster) hivyo tunaipiga itupe micro nutrients ukikosa wuxal chukua booster yoyote ya kukuzia yenye micro nutrients nyingi
Hata wazee wetu walikuwa wanatumia nguvu kubwa mapato madogo, sisi vijana tubadilike tulime kisasa eneo dogo mapato mengiAisee kweli kilimo ni sayansi haswaa,,af ile agriculture nlosomaga o level hakukuwa na hzi mambo asee
Ni kwel asee,,ila mfuko nao inabid uwe vizur kwnye kulima kisasaHata wazee wetu walikuwa wanatumia nguvu kubwa mapato madogo, sisi vijana tubadilike tulime kisasa eneo dogo mapato mengi
Hii vp inafaa ?No sijasema hivyo,booster inapigwa pale panapokua na uhitaji sasa hapo tunaitaj mmea upate micro elements haswa boron ambayo inasaidia mmea kufyonza mbolea,ukitumia yara mila winner hizo micro elements ziko ndio maana ina nutrients nane badala ya tatu kama npk zingine. Wuxal ni booster yenye madini kwa kiwango kikubwa na huwa haitakiwi kupigwa mmea ukishatoa maua (wuxal pekee sio kila booster) hivyo tunaipiga itupe micro nutrients ukikosa wuxal chukua booster yoyote ya kukuzia yenye micro nutrients nyingi
Ndio hivyo kilimo chetu tunatumia pesaNi kwel asee,,ila mfuko nao inabid uwe vizur kwnye kulima kisasa
Hii vp inafaa ?
Ok nashkuru chief,, so naweza nkachanganya na hyo dawa ya drench kwnye hyo booster ?Yes inafaa inazo micro nutrients nyingi tu
Mkuu hv drench na ridomil ni dawa 2 tofauti au ni daw 1?Drench dawa ya ukungu itakusaidia sababu ndio suluhisho kwako ushauri wangu drench ridomil gild gm 20 kwa litre 20 za maji