Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Piga dawa ya ukungu yenye kiuatilifu cha kukinga na kutibu kama yenye ivory 72,ebony72,ridomil gild,linkomil,milraz,othelo top,score,ortiva etc
Nashukuru sana mkuu.
Kwa hio nitumie moja kati ya dawa hizo au ni zote natakiwa kutumia, kila lari.
 
Iliyokufa ing'oe panda upya, kama shamba lina kichanga kingi chimba shimo lefu kwenda chini
Unjano ni ukosefu wa mbolea, weka mbolea na mwagia maji mengi
kwahiyo nikiweka can kwa kesho itakua sawa? na saiv kuna mvua mvua zinanyesha na hyo kesho itakua siku ya 10 toka zipandikizwe
 
Mbolea ya ng'ombe ina madini kidogo sana yaani tani moja ya samadi ni sawa na mfuko wa kg 50 wa urea kwa kuangalia nitrate level ingawa hili pia hutegemea mfugo umelishwa nini.
Ukitaka ulime kwa kutumia samadi basi sqm 1 uweke ndoo moja kubwa means ekari moja ambayo ni sqm 4000 basi uweke ndoo elf 4 hapo utasema una samadi.
Huo unjano ni lack ya nitrate hivyo weka mbolea weka can au yara mila winner
Dooh!! kumbe samadi nliyoweka ni sawa na bure kbs,,any way thanx nxt time nitapandia DAP,,

Naomba nisaidie maelekezo jinsi ya kupandia dap, unaiweka chini km samadi then ndo unakuja kupandikiza mche baadae au?
 
Mimi niko Arusha bahati mbaya sifahamu maduka ya huko,kama hakuna winner chukua npk yeyote ila uchukue na booster ikupe micro elements ukipata wuxal ya bayer ni nzuri zaidi
So booster ntapiga kipind gani mana nakumbuka ulisema booster zinapgwa baada ya mmea kutoa maua
 
So booster ntapiga kipind gani mana nakumbuka ulisema booster zinapgwa baada ya mmea kutoa maua

No sijasema hivyo,booster inapigwa pale panapokua na uhitaji sasa hapo tunaitaj mmea upate micro elements haswa boron ambayo inasaidia mmea kufyonza mbolea,ukitumia yara mila winner hizo micro elements ziko ndio maana ina nutrients nane badala ya tatu kama npk zingine. Wuxal ni booster yenye madini kwa kiwango kikubwa na huwa haitakiwi kupigwa mmea ukishatoa maua (wuxal pekee sio kila booster) hivyo tunaipiga itupe micro nutrients ukikosa wuxal chukua booster yoyote ya kukuzia yenye micro nutrients nyingi
 
Ukitafuta madawa hivyo utachoka,
Kuna madawa yanafanana kila kitu kwahiyo tofauti inakuwa majina tu mfano hapo umetajiwa aina tofauti ya dawa za ukungu nunua moja wapo

Hata mbolea ukikosa yara winner, nunua npk
Poah poa mwamba.
 
No sijasema hivyo, booster inapigwa pale panapokua na uhitaji sasa hapo tunaitaj mmea upate micro elements haswa boron ambayo inasaidia mmea kufyonza mbolea,ukitumia yara mila winner hizo micro elements ziko ndio maana ina nutrients nane badala ya tatu kama npk zingine. Wuxal ni booster yenye madini kwa kiwango kikubwa na huwa haitakiwi kupigwa mmea ukishatoa maua (wuxal pekee sio kila booster) hivyo tunaipiga itupe micro nutrients ukikosa wuxal chukua booster yoyote ya kukuzia yenye micro nutrients nyingi
Aisee kweli kilimo ni sayansi haswaa,,af ile agriculture nlosomaga o level hakukuwa na hzi mambo asee
 
No sijasema hivyo,booster inapigwa pale panapokua na uhitaji sasa hapo tunaitaj mmea upate micro elements haswa boron ambayo inasaidia mmea kufyonza mbolea,ukitumia yara mila winner hizo micro elements ziko ndio maana ina nutrients nane badala ya tatu kama npk zingine. Wuxal ni booster yenye madini kwa kiwango kikubwa na huwa haitakiwi kupigwa mmea ukishatoa maua (wuxal pekee sio kila booster) hivyo tunaipiga itupe micro nutrients ukikosa wuxal chukua booster yoyote ya kukuzia yenye micro nutrients nyingi
Hii vp inafaa ?
d1e450877db0ff4f0771aeab61c85737.jpg
 
Back
Top Bottom