Nimekusoma sana mkuu, shukraniMbolea huweki kwa kuhesabu idadi, ukishaweka za kupandia na kukuzia unakuwa unakagua hali ya shamba, unaangalia nyanya zako shamba zinakuwa zinavyotakiwa kama zitahitaji mbolea utaweka tena
Ila ukishaweka mara moja inatosha utakuwa unapiga mbolea za juu "booster" labda shamba liwe halina rutuba ya kutosha
Kama ndio hizo nilizoona kwenye picha mbona zinaenda fresh tu,Nimekusoma sana mkuu, shukrani
hahahaha kumbe unaujua huo msemoNyanya ni nyanyue, nyanya ni nyanyase, huo mziki wake usiombe bangugu,
Mbegu ganiGramu 50 naweza kulima ekari ngapi?
Mkuu nimeshalima nyanya mimi ,usipimehahahaha kumbe unaujua huo msemo
Ulilimia wapi, vp ilikunyanyua au ilikunyanyasa?Mkuu nimeshalima nyanya mimi ,usipime
Kantangaze inatibikaTatizo ni kanitangaze
Wakuu nimetafuta Assila Arusha nikaambiwa imeisha ila kuna mbadala wake ambayo ni “Monica F1 “ kuna mwenye ujuzi Na hii mbegu? Pia wanauza mbegu 500 kwa sh 30,000 je kwa heka Moja inaingia mbegu ngapi?
Monica f1 si mbadala wa assila hiyo ni lugha ya kibiashara umeambiwaWakuu nimetafuta Assila Arusha nikaambiwa imeisha ila kuna mbadala wake ambayo ni “Monica F1 “ kuna mwenye ujuzi Na hii mbegu? Pia wanauza mbegu 500 kwa sh 30,000 je kwa heka Moja inaingia mbegu ngapi?
Poah poa mkuu,,af nnataka nipge belt mana hakuna ugonjwa nauwazia km kantangaze asee japo sjaona dalili yoyote kwa ssKama ndio hizo nilizoona kwenye picha mbona zinaenda fresh tu,
Nyanya zikihitaji mbolea ukuaji wake unakuwa sio mzuri, zinakuwa za njano yani utaona tu zina tatizo ila kama ushaweka mara moja na zinaenda vzr piga dawa za ukungu, za wadudu hata kama hazijaharibiwa na wadudu piga na hizo booster utaona zinaenda vzr
Gram 30 au 35 zinaweza kutosha, ila inategemea na changamoto za shamba na upandaji wako zinaweza kufika gram 50 kama zitakufa sn kwaajili ya kurudishiaHeka moja naweza panda nyanya aina ya kipato F1 kiasi gani??
Karibu sn mkuu, bado hujachelewa msimu huu ndio kwanza tunakodi shamba na tupo hapa hadi mavunokwa kweli huu uzi ni mzuri sana, Kwa mara ya kwanza nimeusoma mwanzo hadi mwisho, Kwa sasa mimi nimelima Chia, ila kuna eneo limebakia nataka nilime nyanya,
Nyanya ni miezi mitatu unaanza kuvuna, sisi moro tunapanda mwezi wa tatu na mwezi wa sita tunaanza kuchuma