Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 827
Kikubwa tunasisitiza upigaji wa dawa shambani inahitajika umakini sn nyanya ikiwa na maua, kuanzia jinsi ya kutembea usitingishe miche bila sababu za msingi. Pia jinsi ya kuseti bomba lako la kupigia dawa 'solo' weka utoaji wa polepole na itawanye dawa, Na tatu usizidishe vipimo.Mdarahamani na Yumbayumba
Kipindi cha maua hasa kwa zao kama nyanya jitahidi kukwepa dawa ambazo zina nguvu!! epuka dawa zenye mraba mwekundu au wa njano!! na kama ikibidi basi jitahidi usi over dozi otherwise nyanya zitaangusha maua yote!!
Nani mwenye uzoefu na Jarrah ya Rijk Zwaan?
Naomba sifa zake, unaweza ipambanisha na Assila?Naifahamu vyema
Nami nasubiri kwa hamuNani mwenye uzoefu na Jarrah ya Rijk Zwaan?
Naomba sifa zake, unaweza ipambanisha na Assila?
Asante chiefXantho,score,othelo top,othelo,ortiva etc
Mkuu sijakuelewa, hatua ya awali ipi? Kuotesha kitalu au?Wapendwa ndio nimesafisha nalulima heka mbili zangu kwajili ya kuotesha nyanya naomba kujua naanzaje hatua ya kwanza.. Nisha nunua mbegu ya Assila gram 100. Shamba liko mpakni mwa Pwani na na Morogoro mbele ya Msolwa.
NB: nategemea umwagiliaji wa kutumia pump kuna mto mita 100 kutoka shambani kwangu..
Naomba kujua hatua Za awali mpaka nyanya iingie kwenye vitalu..??
Aksanten
Niko used na mazingira ya Arusha.
Kwa Arusha jarrah rz inaperform zaidi ya assila hususani kwenye uzito wa matunda,shape ya tunda na uhifadhi.
Jarrah rz tunda lake ni gm 90 mpaka 120 assila tunda lina gm 100mpaka 120 ila kimtazamo tunda la assila ni kubwa but ni jepesi
Ngozi ya jarrah ni ngumu unaipanga kwenye crate na juu unaweka crate lingine na haipasuki,assila ni laini. Jarrah ikianza kuivaa ukaichukua ukaiweka kwenye sakafu inakaa mwezi mzima bila kuharibika,assila haiwezi hivyo kama unasafarisha mikoa tofauti jarrah inafaa zaidi
shape ya jarrah matunda yote ni oval shape na yanalingana assila sababu ya ukubwa shape zinapishana haina nyoofu mmoja (kwa Arusha lakini pengine haipendi high altitude)
Mmea wa jarrah ni kilo kumi kwa mche mmoja but kwa mkulima just count 6kg per plant,assila kwa mkulima ni kg 5.3 kwa mmea at farmer level
Kwa Arusha jarrah inaperform kuliko assila
Upande wa magonjwa kuvumilia naona zinafanana tofauti ndogo sana,hata kwenye tunda na mmea mzima tofauti ndogo. Tofauti kubwa ni uhifadhi
Bei yake sh ngapMkuu Kuna mbegu inaitwa Onyx f1 Nililetewa na rafiki angu kutoka Moshi.
Kiukweli ni mbegu inayozaa sana kuliko Assila f1 na Matunda yake hayana tofauti sana na Assila f1.
Embu picha ya pact lake au nipigie picha mmea wake ukiwa umezaa tuoneNakumbuka gram 25
Aliniletea kwa 95000
Embu picha ya pact lake au nipigie picha mmea wake ukiwa umezaa tuone
Hizo apo nimeambatanisha
Huo mmea hapo umetoa Matunda 12 na bado una maua yanayoendelea kutoka. Nakumbuka wakati naambiwa kuhusu hii mbegu sikuamini maana mi nilikua nimeizoea Assila f1 lakini kwa sasa naona maajabu yake
Kuanzia mwezi wa sitaHua unavuna nynya zako wakati gani mkuu kama zinavyoonekana kwenye picha
Unavuna zikiwa nyekundu? Ukishavuna unapata soko mapema au unaweza kukaanazo kwa siku kama nne hivi ukisubiri soko? Pia unaziifadhi vipi zisiharibike mapema endapo soko halijapatikana bado.Kuanzia mwezi wa sita