muta ngegi
Senior Member
- Sep 7, 2016
- 167
- 129
yumbayumba ahsante sana kwa elimu nzuri sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanya ni kweli zikikomaa zina hizo stage 3 ulizozitaja
Green ni nyanya mbichi hazifai kuchumwa
Pink sisi tunaita mapera hizi pia uwa hatuchumi labda bei iwe kubwa sn siku hiyo ndio utachuma hadi mapera
Red ndio nyanya zinazotakiwa kuchumwa
Swala la kusema eti tuchume mapera sababu zinaenda mbali hiyo haituhusu atajua mwenyewe mnunuzi, uwa tunauza nyanya shambani na tunachuma red tu atajua mwenyewe anapeleka wapi
Kuna madhara makubwa ukichuma hadi mapera,
Kwanza ujue nyanya zinaongezeka kila mchumo sasa ukichuma hadi mapera inamaana unapunguza mavuno ya mchumo ujao na unapunguza michumo pia
Kwakifupi utakuwa unamfurahisha mfanyabiashara huku unajimaliza ww mwenyewe
Hakuna ubaya wa kuchuma nyanya ikiwa nyekundu. Na kuhusu mteja kusema anapeleka mbali nimchumie pink hilo kwangu halipo mm ndio mkulima nauza nyanya nyekundu tu. Haziwezi kuharibika ndomana tunatumia mbegu za gharama za kisasa, tunapiga madawa akishindwa naachana nae wanunuzi wapo wengi.Ukiwa na utaratibu wa kuchuma zilizoturn pink tu basi utaendelea kuvuna kama unavyochoma red pekee kwa kila wiki kuchuma, nyanya ni lazima kila wiki iivishe tunda. Pink ila zinawateja wanakueleza kabisa nasafirisha mbali chuma stage hii,ubaya wa kuacha tunda mpaka liwe red ni kwamba maua ya juu hufa sababu mmea unaendelea kulisha tunda la chini
Soko ndilo linaleta utofauti. Thus y nikakuelezea kama mnunuzi wako anapeleka mbali hawezi chuma zilizoiva sana inamaana atachuma za pink ila kama muuzaji hapeleki mbali anachuma za red,ila tunda la red linavyokaa zaidi kwenye mmea linaua newly formed flowers sababu mbolea yote linazuiaHakuna ubaya wa kuchuma nyanya ikiwa nyekundu,
Na kuhusu mteja kusema anapeleka mbali nimchumie pink hilo kwangu halipo mm ndio mkulima nauza nyanya nyekundu tu
Haziwezi kuharibika ndomana tunatumia mbegu za gharama za kisasa, tunapiga madawa akishindwa naachana nae wanunuzi wapo wengi
Inamaana ww ni mkulima unauza nyanya zisizoiva? Na unasema nyanya zikiwa nyekundu zina ubaya?
Basi wakulima wa nyanya tunatofautiana
Tunda la red linakaaje sn kwenye mmea wakati tunda likishakuwa jekundu linachumwa?Soko ndilo linaleta utofauti. Thus y nikakuelezea kama mnunuzi wako anapeleka mbali hawezi chuma zilizoiva sana inamaana atachuma za pink ila kama muuzaji hapeleki mbali anachuma za red,ila tunda la red linavyokaa zaidi kwenye mmea linaua newly formed flowers sababu mbolea yote linazuia
View attachment 692973
Hapo harvesting imechelewa juu inaua maua yakitoka inakaa vyema
Pamoja mkuuyumbayumba ahsante sana kwa elimu nzuri sana...
Tunda la red linakaaje sn kwenye mmea wakati tunda likishakuwa jekundu linachumwa?
Mfano mm nachuma kila jumamosi nachuma nyanya nyekundu tu pink naacha ikifika alhamis na ijumaa zile pink zinakuwa red jumamosi zinachumwa
Sisi moro nyanya tunauzia shambani mnunuzi anasafirisha siku hiyohiyo anapeleka sokoni kama ni dar au dom mm hainihusu,
Jaribu kulima nyanya alafu uza pink uone hasara yake wala sio ishu ya kubishana
Yani umfurahishe mfanyabiashara alafu ww mkulima upate hasara?
Na lazima michumo ipungue, na ukichuma mavuno yanakuwa madogo
Mm nauzia shamba na mteja yupo wa uhakika sitafuti mteja siku ya kuchuma. Ndomana nimekwambia pink nachuma kama bei nzuri sn. Alafu kaka unasema pink unasikilizia soko tofauti na red, sasa ukichuma na zikiwa shamba wapi unaposikilizia bei?Hujanielewa nahisi,yaani kama wewe unachuma red kila jumamosi sawa means anaechuma pink kila jumamosi nae inakua the same kila wiki anakua na nyanya za kuchuma. Wa pink ana advantage ya kucheza na soko kuliko anaechuma red mfano wa pink business ikishindikana nyanya yake anaweza ihifadhi hata wiki au hata akipata tatizo njian anapressure but wa red yeye lazima auze siku hiyo hiyo. So kw soko lako wewe nice and good with red ones ila ukipata leo huu la supermarket hizo za red hawataki wanataka za pink sababu zinakaa kwenye shelf muda mrefu zaidi
Mm nauzia shamba na mteja yupo wa uhakika sitafuti mteja siku ya kuchuma
Ndomana nimekwambia pink nachuma kama bei nzuri sn
Alafu kaka unasema pink unasikilizia soko tofauti na red, sasa ukichuma na zikiwa shamba wapi unaposikilizia bei?
Zikichumwa anayesikilizia bei ni mfanyabiashara sio ww,
Alafu usiseme eti anayechuma red na pink ni sawa sio kweli labda kwakuwa mwenzetu unauza supermarket
Mm nazungumzia sisi wakulima wa kawaida kabisa wa nyanya morogoro. Labda nyinyi wataalam wa kilimo wa sua mna utaratibu wenu
So kuna hoja hapo juu mdau alisema ukichuma Pink au ambazo haziiva sana unazuie zile za juu kumea vizuri je nikweli mchumo unapungua?Boss dah sielewi wapi unaposhindwa kunielewa,wewe unaweza upande wa mkulima pekee nahisi ndio shida mimi natazama mnyororo wote sababu naufanyia kazi wote.
Halafu mimi sio wa sua so please usikariri kilimo ni sua tu ndugu.
Sidhani kama kila siku utakua tu mkulima huwazi iko siku mwenyewe utahusika na soko na uzalishaji wako sababu hapo ndipo pesa iko. So waza beyond na sio field level pekee utanielewa vyema tu,sisemi uanze kuvuna za pink no but nimekupa ideas zaidi kua hata za pink zinavunwa yote soko huwa linaongea.
Jitahidi unielewe kwa upande mkubwa ambao mimi naumaanisha wala sina nia ya kubishana na wewe ila mtu anapokuuliza kitu mpe uwanja mpana mwenyewe acheze na soko kulingana na aliko sababu sehemu pia hutofautiana. Niko Arusha huku wateja wa Nairobi wapo na kuna wakulima wanaosafirisha wenyewe kwenda Nairobi sasa wao zikiwa red kwao ni tatizo zitaozea njiani.
Hapo uliko ukivuna pink ni hasara sababu wanunuzi hawachukui ila kuna sehemu wao wanataka pink za red hawataki sasa kama mkulima ni kua flexible na soko.
So kuna hoja hapo juu mdau alisema ukichuma Pink au ambazo haziiva sana unazuie zile za juu kumea vizuri je nikweli mchumo unapungua??
Vipi kuhusu kuanza kuchuma unaaza kuchuma Kwanzaa siku ngapi name ukianza kuchuma michumo inakuwa mingap kabla ya nyanya Kuisha kabisa shambaniMmea ukiwahi kuchuma unaruhusu ya juu kuendelea vyema na frequency ya kuchuma kwa nyanya ni kila wiki hivyo ikibadilika tu kua nyekundu kama unachuma za red chuma,kama unachuma za pink ikiturn tu chuma hii itafanya maua yaendelee sababu chakula kitakua kinapanda juu vizuri.
Zao rahisi kujua madhara ni hoho ukiacha matunda mengi au usipotoa tunda la kwanza maua ya juu yanapukutika,sababu nyanya kichane kinamatunda kadhaa huwezi notice ila ukiona vichane vinaanza kua na matunda manne au matuta jua kuna maua yaliyotoka
Vipi kuhusu kuanza kuchuma unaaza kuchuma Kwanzaa siku ngapi name ukianza kuchuma michumo inakuwa mingap kabla ya nyanya Kuisha kabisa shambani
Duh 3 months nachuma aisee.. Sipati picha ukute soko liko vizuri bei poa alafu unachuma miezi 3
Nikiotesha mwezi huu inamana zitaanza kuchumwa mwezi wa 5 , je soko linakuwaje hapo nahis kama vile mavuno mengi yanakuwa sokoni banda ya masika.. Au unasemaje brother??Kama ukipanda october/november unakutana na soko zuri la january mpaka Mei
Ndio ni kweli mm nasimamia upande wa mkulima tu simuangalii mfanyabiashara, ndomana tunauzia shamba kila mtu anakufa na chakeBoss dah sielewi wapi unaposhindwa kunielewa,wewe unaweza upande wa mkulima pekee nahisi ndio shida mimi natazama mnyororo wote sababu naufanyia kazi wote.
Halafu mimi sio wa sua so please usikariri kilimo ni sua tu ndugu.
Sidhani kama kila siku utakua tu mkulima huwazi iko siku mwenyewe utahusika na soko na uzalishaji wako sababu hapo ndipo pesa iko.
So waza beyond na sio field level pekee utanielewa vyema tu,sisemi uanze kuvuna za pink no but nimekupa ideas zaidi kua hata za pink zinavunwa yote soko huwa linaongea.
Jitahidi unielewe kwa upande mkubwa ambao mimi naumaanisha wala sina nia ya kubishana na wewe ila mtu anapokuuliza kitu mpe uwanja mpana mwenyewe acheze na soko kulingana na aliko sababu sehemu pia hutofautiana. Niko Arusha huku wateja wa Nairobi wapo na kuna wakulima wanaosafirisha wenyewe kwenda Nairobi sasa wao zikiwa red kwao ni tatizo zitaozea njiani.
Hapo uliko ukivuna pink ni hasara sababu wanunuzi hawachukui ila kuna sehemu wao wanataka pink za red hawataki sasa kama mkulima ni kua flexible na soko.