Jifunze kilimo cha nyanya

Jifunze kilimo cha nyanya

Nyanya ni kweli zikikomaa zina hizo stage 3 ulizozitaja
Green ni nyanya mbichi hazifai kuchumwa
Pink sisi tunaita mapera hizi pia uwa hatuchumi labda bei iwe kubwa sn siku hiyo ndio utachuma hadi mapera
Red ndio nyanya zinazotakiwa kuchumwa

Swala la kusema eti tuchume mapera sababu zinaenda mbali hiyo haituhusu atajua mwenyewe mnunuzi, uwa tunauza nyanya shambani na tunachuma red tu atajua mwenyewe anapeleka wapi

Kuna madhara makubwa ukichuma hadi mapera,
Kwanza ujue nyanya zinaongezeka kila mchumo sasa ukichuma hadi mapera inamaana unapunguza mavuno ya mchumo ujao na unapunguza michumo pia
Kwakifupi utakuwa unamfurahisha mfanyabiashara huku unajimaliza ww mwenyewe

Ukiwa na utaratibu wa kuchuma zilizoturn pink tu basi utaendelea kuvuna kama unavyochoma red pekee kwa kila wiki kuchuma,nyanya ni lazima kila wiki iivishe tunda. Pink ila zinawateja wanakueleza kabisa nasafirisha mbali chuma stage hii,ubaya wa kuacha tunda mpaka liwe red ni kwamba maua ya juu hufa sababu mmea unaendelea kulisha tunda la chini
 
Ukiwa na utaratibu wa kuchuma zilizoturn pink tu basi utaendelea kuvuna kama unavyochoma red pekee kwa kila wiki kuchuma, nyanya ni lazima kila wiki iivishe tunda. Pink ila zinawateja wanakueleza kabisa nasafirisha mbali chuma stage hii,ubaya wa kuacha tunda mpaka liwe red ni kwamba maua ya juu hufa sababu mmea unaendelea kulisha tunda la chini
Hakuna ubaya wa kuchuma nyanya ikiwa nyekundu. Na kuhusu mteja kusema anapeleka mbali nimchumie pink hilo kwangu halipo mm ndio mkulima nauza nyanya nyekundu tu. Haziwezi kuharibika ndomana tunatumia mbegu za gharama za kisasa, tunapiga madawa akishindwa naachana nae wanunuzi wapo wengi.

Inamaana ww ni mkulima unauza nyanya zisizoiva? Na unasema nyanya zikiwa nyekundu zina ubaya?
Basi wakulima wa nyanya tunatofautiana.
 
Hakuna ubaya wa kuchuma nyanya ikiwa nyekundu,
Na kuhusu mteja kusema anapeleka mbali nimchumie pink hilo kwangu halipo mm ndio mkulima nauza nyanya nyekundu tu
Haziwezi kuharibika ndomana tunatumia mbegu za gharama za kisasa, tunapiga madawa akishindwa naachana nae wanunuzi wapo wengi

Inamaana ww ni mkulima unauza nyanya zisizoiva? Na unasema nyanya zikiwa nyekundu zina ubaya?
Basi wakulima wa nyanya tunatofautiana
Soko ndilo linaleta utofauti. Thus y nikakuelezea kama mnunuzi wako anapeleka mbali hawezi chuma zilizoiva sana inamaana atachuma za pink ila kama muuzaji hapeleki mbali anachuma za red,ila tunda la red linavyokaa zaidi kwenye mmea linaua newly formed flowers sababu mbolea yote linazuia
IMG_2342.jpg

Hapo harvesting imechelewa juu inaua maua yakitoka inakaa vyema
 
View attachment 692973
Hapo harvesting imechelewa juu inaua maua yakitoka inakaa vyema
Tunda la red linakaaje sn kwenye mmea wakati tunda likishakuwa jekundu linachumwa?
Mfano mm nachuma kila jumamosi nachuma nyanya nyekundu tu pink naacha ikifika alhamis na ijumaa zile pink zinakuwa red jumamosi zinachumwa

Sisi moro nyanya tunauzia shambani mnunuzi anasafirisha siku hiyohiyo anapeleka sokoni kama ni dar au dom mm hainihusu

Jaribu kulima nyanya alafu uza pink uone hasara yake wala sio ishu ya kubishana
Yani umfurahishe mfanyabiashara alafu ww mkulima upate hasara?
Na lazima michumo ipungue, na ukichuma mavuno yanakuwa madogo
 
Tunda la red linakaaje sn kwenye mmea wakati tunda likishakuwa jekundu linachumwa?
Mfano mm nachuma kila jumamosi nachuma nyanya nyekundu tu pink naacha ikifika alhamis na ijumaa zile pink zinakuwa red jumamosi zinachumwa

Sisi moro nyanya tunauzia shambani mnunuzi anasafirisha siku hiyohiyo anapeleka sokoni kama ni dar au dom mm hainihusu,
Jaribu kulima nyanya alafu uza pink uone hasara yake wala sio ishu ya kubishana
Yani umfurahishe mfanyabiashara alafu ww mkulima upate hasara?
Na lazima michumo ipungue, na ukichuma mavuno yanakuwa madogo

Hujanielewa nahisi,yaani kama wewe unachuma red kila jumamosi sawa means anaechuma pink kila jumamosi nae inakua the same kila wiki anakua na nyanya za kuchuma. Wa pink ana advantage ya kucheza na soko kuliko anaechuma red mfano wa pink business ikishindikana nyanya yake anaweza ihifadhi hata wiki au hata akipata tatizo njian anapressure but wa red yeye lazima auze siku hiyo hiyo. So kw soko lako wewe nice and good with red ones ila ukipata leo huu la supermarket hizo za red hawataki wanataka za pink sababu zinakaa kwenye shelf muda mrefu zaidi
 
Mm nauzia shamba na mteja yupo wa uhakika sitafuti mteja siku ya kuchuma. Ndomana nimekwambia pink nachuma kama bei nzuri sn. Alafu kaka unasema pink unasikilizia soko tofauti na red, sasa ukichuma na zikiwa shamba wapi unaposikilizia bei?

Zikichumwa anayesikilizia bei ni mfanyabiashara sio ww. Alafu usiseme eti anayechuma red na pink ni sawa sio kweli labda kwakuwa mwenzetu unauza supermarket. Mm nazungumzia sisi wakulima wa kawaida kabisa wa nyanya morogoro. Labda nyinyi wataalam wa kilimo wa SUA mna utaratibu wenu.
 
Mm nauzia shamba na mteja yupo wa uhakika sitafuti mteja siku ya kuchuma

Ndomana nimekwambia pink nachuma kama bei nzuri sn

Alafu kaka unasema pink unasikilizia soko tofauti na red, sasa ukichuma na zikiwa shamba wapi unaposikilizia bei?

Zikichumwa anayesikilizia bei ni mfanyabiashara sio ww,
Alafu usiseme eti anayechuma red na pink ni sawa sio kweli labda kwakuwa mwenzetu unauza supermarket
Mm nazungumzia sisi wakulima wa kawaida kabisa wa nyanya morogoro. Labda nyinyi wataalam wa kilimo wa sua mna utaratibu wenu

Boss dah sielewi wapi unaposhindwa kunielewa,wewe unaweza upande wa mkulima pekee nahisi ndio shida mimi natazama mnyororo wote sababu naufanyia kazi wote. Halafu mimi sio wa SUA so please usikariri kilimo ni SUA tu ndugu. Sidhani kama kila siku utakua tu mkulima huwazi iko siku mwenyewe utahusika na soko na uzalishaji wako sababu hapo ndipo pesa iko.

So waza beyond na sio field level pekee utanielewa vyema tu,sisemi uanze kuvuna za pink no but nimekupa ideas zaidi kua hata za pink zinavunwa yote soko huwa linaongea.

Jitahidi unielewe kwa upande mkubwa ambao mimi naumaanisha wala sina nia ya kubishana na wewe ila mtu anapokuuliza kitu mpe uwanja mpana mwenyewe acheze na soko kulingana na aliko sababu sehemu pia hutofautiana. Niko Arusha huku wateja wa Nairobi wapo na kuna wakulima wanaosafirisha wenyewe kwenda Nairobi sasa wao zikiwa red kwao ni tatizo zitaozea njiani.

Hapo uliko ukivuna pink ni hasara sababu wanunuzi hawachukui ila kuna sehemu wao wanataka pink za red hawataki sasa kama mkulima ni kua flexible na soko.
 
Boss dah sielewi wapi unaposhindwa kunielewa,wewe unaweza upande wa mkulima pekee nahisi ndio shida mimi natazama mnyororo wote sababu naufanyia kazi wote.
Halafu mimi sio wa sua so please usikariri kilimo ni sua tu ndugu.

Sidhani kama kila siku utakua tu mkulima huwazi iko siku mwenyewe utahusika na soko na uzalishaji wako sababu hapo ndipo pesa iko. So waza beyond na sio field level pekee utanielewa vyema tu,sisemi uanze kuvuna za pink no but nimekupa ideas zaidi kua hata za pink zinavunwa yote soko huwa linaongea.

Jitahidi unielewe kwa upande mkubwa ambao mimi naumaanisha wala sina nia ya kubishana na wewe ila mtu anapokuuliza kitu mpe uwanja mpana mwenyewe acheze na soko kulingana na aliko sababu sehemu pia hutofautiana. Niko Arusha huku wateja wa Nairobi wapo na kuna wakulima wanaosafirisha wenyewe kwenda Nairobi sasa wao zikiwa red kwao ni tatizo zitaozea njiani.

Hapo uliko ukivuna pink ni hasara sababu wanunuzi hawachukui ila kuna sehemu wao wanataka pink za red hawataki sasa kama mkulima ni kua flexible na soko.
So kuna hoja hapo juu mdau alisema ukichuma Pink au ambazo haziiva sana unazuie zile za juu kumea vizuri je nikweli mchumo unapungua?
 
So kuna hoja hapo juu mdau alisema ukichuma Pink au ambazo haziiva sana unazuie zile za juu kumea vizuri je nikweli mchumo unapungua??

Mmea ukiwahi kuchuma unaruhusu ya juu kuendelea vyema na frequency ya kuchuma kwa nyanya ni kila wiki hivyo ikibadilika tu kua nyekundu kama unachuma za red chuma,kama unachuma za pink ikiturn tu chuma hii itafanya maua yaendelee sababu chakula kitakua kinapanda juu vizuri.

Zao rahisi kujua madhara ni hoho ukiacha matunda mengi au usipotoa tunda la kwanza maua ya juu yanapukutika,sababu nyanya kichane kinamatunda kadhaa huwezi notice ila ukiona vichane vinaanza kua na matunda manne au matuta jua kuna maua yaliyotoka
 
Vipi kuhusu kuanza kuchuma unaaza kuchuma Kwanzaa siku ngapi name ukianza kuchuma michumo inakuwa mingap kabla ya nyanya Kuisha kabisa shambani
 
Vipi kuhusu kuanza kuchuma unaaza kuchuma Kwanzaa siku ngapi name ukianza kuchuma michumo inakuwa mingap kabla ya nyanya Kuisha kabisa shambani

Hapo inategemea na aina ndugu na hali ya hewa
Kuchuma wastani ni siku 75 toka kusia sasa kukiwa na joto zinashuka mpaka 65 au 70 na kwenye baridi zinapanda mpaka 80 hata 85

Kwa za kawaida unachuma mara tatu mpaka tano yaani mwezi mmoja zinakua zimeisha ila kwa chotara unachuma mara nane mpaka 12 yaani miezi miwili mpaka mitatu
 
Hapo kwa nyanya za kulima nnje ya green house,za green house ni unachuma kwa miezi sita mpaka nane
 
Kama ukipanda october/november unakutana na soko zuri la january mpaka Mei
Nikiotesha mwezi huu inamana zitaanza kuchumwa mwezi wa 5 , je soko linakuwaje hapo nahis kama vile mavuno mengi yanakuwa sokoni banda ya masika.. Au unasemaje brother??
 
Kuna kitu nataka kujua kuhusu huyu mdudu kantangaze.. Je nikiwa niko katikati ya msitu sijazungukwa na mkulima mwingine yeyote yaan ful pori alafu hapo katikati ya pori ndio mm nalima heka zangu za nyanya je huyu mdudu anaweza nipata?
 
Boss dah sielewi wapi unaposhindwa kunielewa,wewe unaweza upande wa mkulima pekee nahisi ndio shida mimi natazama mnyororo wote sababu naufanyia kazi wote.
Halafu mimi sio wa sua so please usikariri kilimo ni sua tu ndugu.

Sidhani kama kila siku utakua tu mkulima huwazi iko siku mwenyewe utahusika na soko na uzalishaji wako sababu hapo ndipo pesa iko.

So waza beyond na sio field level pekee utanielewa vyema tu,sisemi uanze kuvuna za pink no but nimekupa ideas zaidi kua hata za pink zinavunwa yote soko huwa linaongea.

Jitahidi unielewe kwa upande mkubwa ambao mimi naumaanisha wala sina nia ya kubishana na wewe ila mtu anapokuuliza kitu mpe uwanja mpana mwenyewe acheze na soko kulingana na aliko sababu sehemu pia hutofautiana. Niko Arusha huku wateja wa Nairobi wapo na kuna wakulima wanaosafirisha wenyewe kwenda Nairobi sasa wao zikiwa red kwao ni tatizo zitaozea njiani.

Hapo uliko ukivuna pink ni hasara sababu wanunuzi hawachukui ila kuna sehemu wao wanataka pink za red hawataki sasa kama mkulima ni kua flexible na soko.
Ndio ni kweli mm nasimamia upande wa mkulima tu simuangalii mfanyabiashara, ndomana tunauzia shamba kila mtu anakufa na chake

Nikimuuzia mfanyabiashara nyanya pink nampa faida sn alafu mm inanikata. Kuhusu nyanya kuharibika hiyo sio hoja, ndomana tunanunua mbegu za gharama sn sababu zinakaa muda mrefu bila kuharibika, pia kuna dawa za kukomaza matunda uwa tunapiga yani tunda linakomaa haliharibiki.

Mfano nyanya ikiwa box 10,000/= mnunuzi akitaka pink lazima aongeze hela ndio nimchumie tofauti na hapo aende zake, wanunuzi wapo wengi

Mm nikipambana nyanya ikifika wakati wa kuvuna sichek na mtu sababu mm ndio nimeumia shamba, sipangiwi nyanya zipi nichume zipi niache
 
Back
Top Bottom