Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

Omba yasikukute mkuu, moto wa petrol unaujua?
 
Kwahiyo huyo Zungu kama alikuwa na familia, ilikuwaje akafia ugenini?
Huyo mchepuko hakulijua hili?
Alichepuka na nani mpaka akachomwa 🔥?
Nahisi alijitangaza kuwa yuko single, akapewa nyapu ilipobuma neema akachomoa betri 🔥 ukatokea
 
Tamaa zenu tu zimewazidi.....kwani sisi hatuwaoni nyie? Hamtujaribu? Mbona tunajotahidi kukaa njia kuu
Ukiona mwanamke anachepuka ujue wewe ndio tatizo
Wanaume kutulia ni ngumu labda awe na hofu sana ya Mungu, vishawishi ni vingi sana na teknolojia inachangia kurahisisha zinaa,
Mbaya zaidi unamtongoza mwanamke anaejua kila kitu kuhusu wewe lakini hajali anakubali na mtoto anakuzalia, tatizo linaanzia kwenu. Kama huyo aliemuua jamaa pengine anajua ana familia yake lkn kaamua kua nae, Kuna nipo nae mchepuko ana wivu kuliko hata mke wangu na kunifuatilia kupitiliza, na kunitishia maisha keshanitisha sanaa apo yeye ni mchepuko na anajua kila kitu kuhusu mimi. Sisi tunavutiwa na nyie kwanini msitukatae?
 
Kuikemea nafsi ni jambo kuu kabisa,sababu tamaa za mwili haziwezi kutimilizwa kamwe,sababu roho i lazi mwili ni dhaifu.Mungu atupe ujasiri kabisa wakuishinda dunia
 
"aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakaloangamiza nafsi yake" hayo ni maneno ya biblia sijui kwenye kitabu gani vile nikumbusheni jamani
Mithali 6:32 (Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake)
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alimwambukiza HIV huyo jamaa yaani hawa mavinyozi na wanawake wa saloon ni malaya sijawahi ona sijui tatizo ni nini?waseng......e sana
Nani alimwambukiza mwenzake? Andika kwa utulivu ueleweke sio unaandika kama unaharisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…