Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani anaitwa neema nani?Ulizia kwanza anaitwa Neema nani utapata jibu sahihi
MushiKwani anaitwa neema nani?
Nani alimwambukiza mwenzake? Andika kwa utulivu ueleweke sio unaandika kama unaharisha.
Nothing justifies anything.Kwa Mujibu wa Malelezo ya awali Marehemu alitumiwa laki moja na mtuhumiwa baada ya kupokea pesa ya mchezo aliokuwa akichangia kupitia ujasiriamali wa kuuza supu ya kongoro.......
Inasemekana marehemu alikuwa kalewa siku ya tukio.
Huyu Binti ana akili TIMAMU Ila nahisi alipata kichaa Cha muda, Hatujui marehemu alimkosea nini mtuhumiwa zaidi ya tunayosikia.
Tukumbuke hakuna mahakama ya mapenzi. Hakuna shahidi wa moja kwa moja.
Tuwaelewe watu Tusihukumu watu.
Mkuu Sina Nia ya kumtetea mtuhumiwa, Kumbuka ni mtuhumiwa kwa kuwa bado chombo Cha Sheria hakijathibitisha.Nothing justifies anything.
Unauaje mtu, kisinguzio ni mahakama ya mapenzi haipo.
We need to understand rejections.
We need to accept not being accepted.
We just need to normalize people's NO!
Its a total sentence.
Ufo Saro ni wawapi vileNeema Mushi. Nadhani jina linatambulisha. Tujikumbushe pia habari gunia mbili za mkaa
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
nikawa mpole, maana alikua ananisema sana kuwa yeye anataka wawe wawili tu, yeye na wife! Alivoona kama sieleweki akasema anaenda kumwambia wife maana ndioa mwogopa.Hahahaaaaa, ikabidi uwe mpoleee
Dah😂😂😂😂😂nikawa mpole, maana alikua ananisema sana kuwa yeye anataka wawe wawili tu, yeye na wife! Alivoona kama sieleweki akasema anaenda kumwambia wife maana ndioa mwogopa.
Simlaumu Neema hata kidogo kusema ukweli wanaume baadhi wanakera mno unavumilia mpka unachoka[emoji30]Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku.
Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na kuunguza nyumba inayodaiwa kuwa ya baba wa mdada huyo.
Kabla ya tukio hilo jana, inadaiwa Neema aliweka status mtandaoni kuashiria atafanya tukio baya huku katika status hizo akisema mtanisamehe
Zungu ambaye ametajwa kuwa kinyozi huko Mbezi, kwa upande mwingine anadaiwa alikuwa na mke na watoto wawili hivyo Neema alikuwa mpenzi wake mwingine. Kwa mujibu wa walioshuhudia nyumba ikiungua wamesema walikuwa wakisikia sauti ya Zungu akimuomba Neema amsamehe na amfungulie mlango asifariki lakini moto uliochagizwa kwa petrol unadaiwa ulikuwa mkubwa
Neema tayari inadaiwa amedakwa yupo polisi.
Je, kitendo alichofanya Neema ni sahihi?
Nini maoni yako?
View attachment 1856649
sema kweli jamaa alimuambukiza demu ngwengeAlimwambukiza HIV huyo jamaa yaani hawa mavinyozi na wanawake wa saloon ni malaya sijawahi ona sijui tatizo ni nini?waseng......e sana
Mageti ya chuma mlangoni, madirisha grill za chima hutoboi labda upande mezani utoboe bati.Nikianza ku imagine kwa circumstances ya tukio naona kama hata mchizi kafa kizembe
Yani demu anawasha moto we uko ndani baada ya ku fight utoke unaanza kumuomba afungue mlango?
Hapo ningekua mimi vyombo vya habari headlines zingeandika the return of koyla.
Yani ningepita na mlango huku nawaka kama sharukan
Kumbuka geti la chuma linashikwa na lock tu, forcus kwenye lock piga na kitu kizito kwa pressure kubwa fasta utajikuta upo njeMageti ya chuma mlangoni, madirisha grill za chima hutoboi labda upande mezani utoboe bati.
Tatizo moto wa petrol unakuwa mkubwa sana na mlipuko wa ghafla.