Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

Mpaka sasa nishawaona wawili wewe na Evelyn Salt 😀😀
Ukweli usemwe!
Sio tu kwa wanawake hata wanaume umekaa zako huna hili wala lile unashangaa msg ya muamala imeingia lazima ufurahi! Tena uombe siku hiyo uwe huna hela
Kuomba hela inachosha, sanasana ukifikilia kila mtu ana shida zake bora usubiri mtu akupe yeye mwenyewe🤸
 
Upo sahihi kwasababu hakuna asiyependa hela, Ila ya nikijisikia tu nisend miamala bila kujua status yako kwa muda huo hapana🙌
 
Nikki wa Pili kafanya haya yote na bado kaambulia za uso.
We unatuma na kisha ulizotuma anatumiwa mwingine na huyo mwingine anamtumia mwingine. Ukija kufahamu tunasikia alimchoma kwa gunia la mkaa. Crime of passion
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akagaawee kwa mume mwenza bila sababuu utakuja nishukuruù
 
Hili linawezakana iwapo atapatikana rais mwenye maono na asiye mbinafsi. Rais ambaye yuko tayari ku-sacrify ufalme wake na wanamzunguka kwa Tanzania ijayo. Anafumua kwanza mfumo wote wa uongozi na kubadilisha culture ambayo wananchi tunayo, culture ya kila mtu ''kusali'' ile sala ya ''tunaomba rais wetu msikivu aliangalie hili....''. Asante kwa kuiona hili kwani sisi tukisema kuwa kuna sehemu tumekwama, hebu tujitafakari kwanza, tunaambiwa tuko kwenye right direction...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…