Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Jifunze mapishi na namna mbalimbali za kupika mkate

Yeah...mkate wa kumimina pendelea kutumia mchele mkavu maana mengine kama ina mafuta mafuta....inakua haiji vizuri

Asante kwa mapishi shost.

Kuna Jirani yangu muhindi apa ofisini wanafanya mikate ya mchele na vitumbua na chila kwa mchele wa mbeya, very tasty Wallah.

Yani nikifuata mkate nkiuleta ofisini mi mwenyewe huambulia mafuta tu mkononi mana ivo unavovamiwa utafkiri watu tuko Taliban.

Mkate huu niliwahi kupika mara moja zamani sana, ulitokea mzuri lkn sijui kwa nini sina mzuka nao sana.
Mimi napenda zaidi chila
 
Wow!! YaaaRabiii... Wee Binti wajua nimezidi uzito kilo 3 since mwanzo wa November!!...nkate ya huu siye tawita "vibibi" kula kwake yatakiwa berrys jam na kisukumio kahawa ya Turkish coffee!! Mashkurr binti Nnass kwa rcpe. muruwa !!!

Hahaaaha habibty hata kama ukinenepa kwa raha zako zilivokuzidi basi wanisingizia mie na mahanjumati yangu...lol
 
Asante kwa mapishi shost.

Kuna Jirani yangu muhindi apa ofisini wanafanya mikate ya mchele na vitumbua na chila kwa mchele wa mbeya, very tasty Wallah.

Yani nikifuata mkate nkiuleta ofisini mi mwenyewe huambulia mafuta tu mkononi mana ivo unavovamiwa utafkiri watu tuko Taliban.

Mkate huu niliwahi kupika mara moja zamani sana, ulitokea mzuri lkn sijui kwa nini sina mzuka nao sana.
Mimi napenda zaidi chila

Hahahahaha nami chila napenda sana kwa samaki kwa kukaanga hunitoi lol...
 
Mahitaji
1)Tambi 500g
2) maji 3-4cups
3)sukari 1 cup
4)1/4 hiliki iliyotwangwa
5)tui la nazi 1 cup
6)samli 1 tablespoon.
7)Arki ya rose au flavor yoyote unayopendelea

Namna ya kutaarisha

1)changanya maji,sukari,hiliki na tui la nazi kwenye sufuria
2)weka kwenye moto mdogo mdogo hadi vichemke
3)vunja vunja tambi na uweke
4)pika hadi tui la nazi likauke
5)pakaza samli juu yake
6)washa oven 300°-350° then oka mkae wako....hakikisha unawiva vizuri...

7)mkate wa tambi tayari kwa kuliwa...
 
Attachments

  • 1385477035734.jpg
    1385477035734.jpg
    26.6 KB · Views: 461
Mahitaji
1)Tambi 500g
2) maji 3-4cups
3)sukari 1 cup
4)1/4 hiliki iliyotwangwa
5)tui la nazi 1 cup
6)samli 1 tablespoon.
7)Arki ya rose au flavor yoyote unayopendelea

Namna ya kutaarisha

1)changanya maji,sukari,hiliki na tui la nazi kwenye sufuria
2)weka kwenye moto mdogo mdogo hadi vichemke
3)vunja vunja tambi na uweke
4)pika hadi tui la nazi likauke
5)pakaza samli juu yake
6)washa oven 300°-350° then oka mkae wako....hakikisha unawiva vizuri...

7)mkate wa tambi tayari kwa kuliwa...
Ahsante sana Mtoto wa mamangu mdogo Khaloo!! hiyo kwa Chai ya zahfarani...mmmmh !!! haitoshii!
 
Nina swali moja, inaweza kuchukua Dk ngapi kwa joto hilo??
 
hiyo number 7 ni nn?na hiyo samli ni yale mafuta ya njano au nn maana sijaelewa
 
Ahahahhaahhha eti khalooo me naona n ammi lol😛😛😛😛
Yaa rabii... sasa wataka nikunasib Bint 3ammi... Nahisi wifiyo ataunguza mkate wa tambi na atavuruga mapishi yote jikoni..!!! niambulie ukoko tu.... jioni njema siye twenda kudozzii wee baki huko hadi jua lizame.
 
Mahitaji
1)Tambi 500g
2) maji 3-4cups
3)sukari 1 cup
4)1/4 hiliki iliyotwangwa
5)tui la nazi 1 cup
6)samli 1 tablespoon.
7)Arki ya rose au flavor yoyote unayopendelea

Namna ya kutaarisha

1)changanya maji,sukari,hiliki na tui la nazi kwenye sufuria
2)weka kwenye moto mdogo mdogo hadi vichemke
3)vunja vunja tambi na uweke
4)pika hadi tui la nazi likauke
5)pakaza samli juu yake
6)washa oven 300°-350° then oka mkae wako....hakikisha unawiva vizuri...

7)mkate wa tambi tayari kwa kuliwa...

cc. King'asti
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale ambao hawafahamu arki ni ni nini ni hii hapa...
Hii ya kwangu ni ya vanilla,kuna aina nyingi za fleva nyengine nyengine..
 
Attachments

  • 1385478694180.jpg
    1385478694180.jpg
    63.9 KB · Views: 404
Yaa rabii... sasa wataka nikunasib Bint 3ammi... Nahisi wifiyo ataunguza mkate wa tambi na atavuruga mapishi yote jikoni..!!! niambulie ukoko tu.... jioni njema siye twenda kudozzii wee baki huko hadi jua lizame.

Hhahahahahaaha usiku mwema...ota unakula mkate wa tambi lol..utafune godoro ahahahhh
 
Back
Top Bottom