Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Yeah...mkate wa kumimina pendelea kutumia mchele mkavu maana mengine kama ina mafuta mafuta....inakua haiji vizuri
Asante kwa mapishi shost.
Kuna Jirani yangu muhindi apa ofisini wanafanya mikate ya mchele na vitumbua na chila kwa mchele wa mbeya, very tasty Wallah.
Yani nikifuata mkate nkiuleta ofisini mi mwenyewe huambulia mafuta tu mkononi mana ivo unavovamiwa utafkiri watu tuko Taliban.
Mkate huu niliwahi kupika mara moja zamani sana, ulitokea mzuri lkn sijui kwa nini sina mzuka nao sana.
Mimi napenda zaidi chila