Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Yeah...mkate wa kumimina pendelea kutumia mchele mkavu maana mengine kama ina mafuta mafuta....inakua haiji vizuri
Wow!! YaaaRabiii... Wee Binti wajua nimezidi uzito kilo 3 since mwanzo wa November!!...nkate ya huu siye tawita "vibibi" kula kwake yatakiwa berrys jam na kisukumio kahawa ya Turkish coffee!! Mashkurr binti Nnass kwa rcpe. muruwa !!!
Asante kwa mapishi shost.
Kuna Jirani yangu muhindi apa ofisini wanafanya mikate ya mchele na vitumbua na chila kwa mchele wa mbeya, very tasty Wallah.
Yani nikifuata mkate nkiuleta ofisini mi mwenyewe huambulia mafuta tu mkononi mana ivo unavovamiwa utafkiri watu tuko Taliban.
Mkate huu niliwahi kupika mara moja zamani sana, ulitokea mzuri lkn sijui kwa nini sina mzuka nao sana.
Mimi napenda zaidi chila
dah farkhina,mbona unanifukuza kama ile mi mdokozi wa mboga chunguni?si unionjeshe tu jamani na mimi nisikie utamu wake?!!!
Usijali,endelea kusubiri
Ahsante sana Mtoto wa mamangu mdogo Khaloo!! hiyo kwa Chai ya zahfarani...mmmmh !!! haitoshii!Mahitaji
1)Tambi 500g
2) maji 3-4cups
3)sukari 1 cup
4)1/4 hiliki iliyotwangwa
5)tui la nazi 1 cup
6)samli 1 tablespoon.
7)Arki ya rose au flavor yoyote unayopendelea
Namna ya kutaarisha
1)changanya maji,sukari,hiliki na tui la nazi kwenye sufuria
2)weka kwenye moto mdogo mdogo hadi vichemke
3)vunja vunja tambi na uweke
4)pika hadi tui la nazi likauke
5)pakaza samli juu yake
6)washa oven 300Β°-350Β° then oka mkae wako....hakikisha unawiva vizuri...
7)mkate wa tambi tayari kwa kuliwa...
Hapa tena niko na wewe.Great work!
Ahsante sana Mtoto wa mamangu mdogo Khaloo!! hiyo kwa Chai ya zahfarani...mmmmh !!! haitoshii!
hiyo number 7 ni nn?na hiyo samli ni yale mafuta ya njano au nn maana sijaelewa
Yaa rabii... sasa wataka nikunasib Bint 3ammi... Nahisi wifiyo ataunguza mkate wa tambi na atavuruga mapishi yote jikoni..!!! niambulie ukoko tu.... jioni njema siye twenda kudozzii wee baki huko hadi jua lizame.Ahahahhaahhha eti khalooo me naona n ammi lolππππ
Mahitaji
1)Tambi 500g
2) maji 3-4cups
3)sukari 1 cup
4)1/4 hiliki iliyotwangwa
5)tui la nazi 1 cup
6)samli 1 tablespoon.
7)Arki ya rose au flavor yoyote unayopendelea
Namna ya kutaarisha
1)changanya maji,sukari,hiliki na tui la nazi kwenye sufuria
2)weka kwenye moto mdogo mdogo hadi vichemke
3)vunja vunja tambi na uweke
4)pika hadi tui la nazi likauke
5)pakaza samli juu yake
6)washa oven 300Β°-350Β° then oka mkae wako....hakikisha unawiva vizuri...
7)mkate wa tambi tayari kwa kuliwa...
Shukran.
Yaa rabii... sasa wataka nikunasib Bint 3ammi... Nahisi wifiyo ataunguza mkate wa tambi na atavuruga mapishi yote jikoni..!!! niambulie ukoko tu.... jioni njema siye twenda kudozzii wee baki huko hadi jua lizame.