Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

mkuu strawberry ni mimea ya aina ipi?????? toa ufafanuzi tafadhali, huenda nimeukalia uchumi!!!
 
Asante sana nimeelimika ninahitaji hasa kufanya manunuzi online,mahitajio msaada zaidi
 
Habari Wana jamiiF
Nafurahi Muwazima Wa Afya njema
leo naomba kuuliza je nikinunua bidhaa amazon au ebay nitatumiwa kwa njia ipiii?

je pia njia ipi salama kama nahitaji kununua bidhaa online?
Pia naomba kuuliza mzigo kusafirishwa kwa njia ya ndege kuna garama gani?(mizigo midogo midogo kama kamera hivi ama simu)

Napia mzigo nikinunua nje na kisha ukalipiwa garama za usafiri huko nnatakiwa nami kulipia tena jambo lolote kwa hapa tanzania?

Naombani msaada wakuu maana ninahitaji haswaaa kujua
 
Hii huduma nzuri sana, sema sijajua apo, maswala ya TRA inakuwaje?
 
Hivi kikuu delivery ipo kweli ata ukishalipia order kabsa

Sorry: nje ya mada kidogo lakini anayefahamu anieleweshe
 
Anzia mwazo kuna majibu ya haya maswali!
 
Kitu gani cha msingi zaidi unaangalia unaponunua bidhaa kwa njia ya mtandao?

 
Kitu gani cha msingi zaidi unaangalia unaponunua bidhaa mtandaoni?

1. Njia salama ya malipo itakayotumika - Epuka seller wanaotaka malipo yafanyike kwa Moneygram au western union iwapo ni mara ya kwanza kufanya naye biashara.

2. Njia ya usafirishaji, Hii inakupa Uhakika wa kupata mzigo kwa wakati - Usipo kuwa makini kipengele hiki waweza jikuta mzigo unaupata baada ya wiki 5, wakati ukiwa makini basi utapata mzigo ndani ya siku 15 - 21 au chini ya hapo.

3. Reviews za wateja wengine kwa seller na bidhaa husika kabla sijafanya maamuzi ya kulipia bidhaa husika.
 
Ahsante sana Mwalimu, ngoja nikucheki kuna kitu nataka kuagiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…